Msichana wa kufanya kazi za nyumbani

Msichana wa kufanya kazi za nyumbani

Sally

Member
Joined
Feb 25, 2008
Posts
42
Reaction score
0
Natafuta msichana wa kufanya kazi za nyumbani. Awe ni wa kulala huko huko kazini.Kwa anayetafuta kazi tuwasiliane kwa namba 0784 580 333
 
Mshahara ni mzuri.Kabila lolote.Familia ina watoto 3, wawili boarding na mmoja yuko darasa la 3
 
Natafuta msichana wa kufanya kazi za nyumbani. Awe ni wa kulala huko huko kazini.Kwa anayetafuta kazi tuwasiliane kwa namba 0784 580 333
a) umeoa au umeolewa
b) mna watoto wangapi?
c) wana familia ni wangapi hapo nyumbani kwenu?
d) Nyie kabila gani, maana makabila mengine kwa kutuma tuma wamebarikiwa.

maelezo plse!! usije ukawa unatafuta mke kwa njia hii.
 
kazi atafanyia Dar maeneo ya Boko, kabila ni lile kubwa
 
mbona anaweka cv yake na familia yake kwa mkato sana
 
Back
Top Bottom