Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Utunzi maridhawa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utunzi maridhawa....
Better Be safe than sorry
Halafu kuna watu wanapinga ile thread ..
Ni vema kila mtu akipata elimu ya kuzuia ..
Anyway yameshatokea , si ya kuzuia tena.
Kwanza kabisa umefanya vizuri kumsikiliza ila usingemchana
kwani hapo alipo kachanganyikiwa.
Mtu akiwa kwenye situation hiyo kweli anahitaji msaada
Kwa sababu wengi hujaribu , kutoa wenyewe, na wengi wengineo
wanafikiri hata kujiua. ndo maana nikasema kumchana haisaiidi kitu.
Alikimbilia kwako sababu anakuamini wewe.
Tatizo hapo chooni usikute hakuna caunceler wala hata nesi ..
We ungemsaidia kutafuta mtu wa kuongea naye "Professional"
Nah, actually ilikua vizuri kumweleza jinsi anavyolichukulia hilo swala, huko kuchanganyikiwa kukimtoka labda atafikiria mara mbili mbili kama atoe au la. Sema hata mimi naunga mkono swala la kumpatia mtu wa kuongea nae amwaleze ni kwa namna gani anaweza akaishia kupata kovu la maisha badala ya kupata unafuu anaotegemea.
Hivi mtu akiwa amechanganyikiwa huwa ana think straight kweli?
au ndo kwanza anaishia kwenye conclusion. Mtu akichanganyikiwa
anarukie kile ambacho anaona ndo solution kwa muda huo.
Ni sawa kumweleza wazi alichofikiria , lakini hapo aliposema
"Nimemchana Live" yaonekana ni kama vile alikuwa anamropokea..
Na ukimropokea mtu kuna chance kubwa sana
hakusikilizi na hatilii maanani unacho mwambia..
We bana, nimesema "KUCHANGANYIKIWA KUKIMTOKA" hata kama itakua ni baada ya kutenda hicho anachotaka.Kesho na kesho kutwa atajifunza kuwa mwangalifu, kama anataka sex awe responsible.
Habari zenu wananchi wenzangu..ebana leo asubuh nilipokea cmu toka kwa msichana mmoja ambae anasoma chuo flani maarufu kilichopo mitaa ya posta hapa jijin Dsm,mdada alinitaka nionane nae coz ana shida ya muhimu sana,wel kwa sababu ni mtu tunafahamiana,me nkaenda kumsikilza,cha kusikitisha mdada akanambia ana matatzo makubwa,kwanza akaanza kutoa machozi,nikadhan maybe kuna msiba,bt akanambia kuna jamaa wa hapo hapo chuon kwao kampga mimba afu mshkaji kamruka hataki hata kumuona tena,sasa dada wa watu anadai anataka kuitoa bt hana hata shilingi so eti me ndo nimsaidie pesa akaichomoe hyo mimba..kwanza nimeogopa kushirikishwa kwenye mpango ka huo as cjawah hata kufkiria kufanya hvo,nlichofanya me nimemchana live kwamba cwezi kuua,nimemwachia shiling elfu 20 za kula as alnambia kafulia mbaya.sasa wakuu,hapo ntakua nimefanya jambo la maana au nimekosea?
Yuko chuo atoe mimba ya nini tena?
Hivi mtu akiwa amechanganyikiwa huwa ana think straight kweli?
au ndo kwanza anaishia kwenye conclusion. Mtu akichanganyikiwa
anarukie kile ambacho anaona ndo solution kwa muda huo.
Ni sawa kumweleza wazi alichofikiria , lakini hapo aliposema
"Nimemchana Live" yaonekana ni kama vile alikuwa anamropokea..
Na ukimropokea mtu kuna chance kubwa sana
hakusikilizi na hatilii maanani unacho mwambia..
cna maana kwamba nimemropokea mkuu,nimemwambia kiustaarabu tu.