Ukimaanisha niniHyo haipo kwa mwanamke akitiwa dudu basi
😂😂😂Hapo ni sawa na kuloa Samaki kwenye ndoo, hao wanajuana funga nae ndoa uone shughuri yake
Huwa najipimia mimi na ma x wangu, yani kama nataka napata.Ukimaanisha nini
Tatizo uyu jamaa ni muharibifu tu ya apa mtaani hakuna demu aliyemuacha so anafanya sifaWe oa tu mke wa mtu
Kichwa chenye akiri hata mdomo wake huzungumza mema siku zoteMsichana wako ndio atakayelimaliza hilo, asitishe mawasiliano naye mana kuna uhakika mkubwa pengine yeye ndio anamfanya jamaa asichoke kusumbua
Ni huyo x wako, hajitambui wala hajui nini anatakaHuwa najipimia mimi na ma x wangu, yani kama nataka napata.
asante mkuuKichwa chenye akiri hata mdomo wake huzungumza mema siku zote
BE BLESSED
Ninampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?
Ninampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?
Huyo X si umloge tu yaishe....test mitambo ya babuNinampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?
Kwa kifupi bado wanakulana ila usimsanue boyaa
Mkuu hata wewe unayejitambua, x wako akikutaka anakupata kwa gharama ndogo sana. Zipo mbunu... Aaargh! Zipo mbuni...hili neno gumu...zipo mbinu.Ni huyo x wako, hajitambui wala hajui nini anataka
Sasa mpaka hapo hujapata jibu tu hao bado wapo pamoja ukimuoa tu kubali jamaa ataendelea kumla atakavyo. Na inaonekana demu ashakuona wewe boya utakuwa mume wa ndoa ila tendo la ndoa na x wake. Jiongeze acha uboyaNikweli ,mana jana nilijaribu kuongea na x wake uyo kumuelekeza juu ya kile anachokifanya, baadae x wake akampigia demu akimshtumu anataka kutugombanisha, demu ananiwakia mimi kwa nini nimwambia kila kitu jamaa na kumtaja yeye ndie aliyeniambia.
Wewe boya kweli kweliUnajua ukipenda inakuwa kama upofu demu amejitahidi kuonesha kwa watu kwamba mimi ni mtu wake, ukienda fb cover picture yake niyakwangu, yani apa ninapoishi kila mtu anajua natoka nae, ata mimi nilidhia kiasi cha kumtambulisha she's my wife to be.
Kwanza huyo x anatoa wapi mawasiliano yangu!Mkuu hata wewe unayejitambua, x wako akikutaka anakupata kwa gharama ndogo sana. Zipo mbunu... Aaargh! Zipo mbuni...hili neno gumu...zipo mbinu.
Maana nikueleze, 'sitaki' yako haikusaidii wala masharti yako hayamshindi kuyatimiza na kukupata.
Tena nyie wenye kujua mnachotaka, ma x wenu wanawataka kama nini na wanawapateni kiulainii!
Kama bado una jazba namna hiyo, anatumia kuwadi na kifumba kalomo ya mil.1, je utamtupia usoni?Kwanza huyo x anatoa wapi mawasiliano yangu!
Tukiachana nablock halafu nafuta! Hapo ndo mwisho wa mawasiliano kati yangu na yeye