Msichana wangu anasumbuliwa x wake

Ninampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?

Brother waache warudiane, wewe tafuta mwanamke mwengine wa kuoa. La sivyo utakuja kugongewa ndani ya ndoa
 

Very truly practicing ya wake za watu na Ma-X zao
 
Huo ni mtazamo wako...x hana nafasi kabisaa kwenye maisha yangu ...

Kama hela mimi nafanya kazi hazijawahi kuwa kishawishi kwangu
 
Huo ni mtazamo wako...x hana nafasi kabisaa kwenye maisha yangu ...

Kama hela mimi nafanya kazi hazijawahi kuwa kishawishi kwangu
Basi kama yote usemayo ndiyo msimamo wako kwa 100%, cheo chako ni 'real woman', nimekupa mimi, cheo hicho ni chako na unastahili sifa.

Nimesema hivyo kwa sababu, wanawake wengi ni dhaifu sana katika uthabiti wa maamuzi.

Wanachezewa na kutupwa kama takataka na kurejeshwa na kutupwa tena na tena.

Ni michezo isiyo na mwisho hadi watu wanazeeka lakini hawajapata ufumbuzi kwa kuwa hawana msimamo kama wako.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…