Msichana wangu anasumbuliwa x wake

Msichana wangu anasumbuliwa x wake

Ninampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?

Brother waache warudiane, wewe tafuta mwanamke mwengine wa kuoa. La sivyo utakuja kugongewa ndani ya ndoa
 
Mkuu hata mimi kuna ex wangu anaolewa nimemsumbua hadi kakubali kuingia mkataba nisiwe namsumbua tena...

Makubaliano ya mkataba wetu.

Kwa mwaka tutakutana mara nne kufanya tendo yani kila baada ya miezi minne,
Atanisave kaka,
Tutakua tunachat mara moja moja mchana kama kaka na dada mpka siku za tendo zikaribie,
Kama akipata mimba basi sihusiki ni ya mumewe.

Take care mkuu

Very truly practicing ya wake za watu na Ma-X zao
 
Kama bado una jazba namna hiyo, anatumia kuwadi na kifumba kalomo ya mil.1, je utamtupia usoni?
Watu wanambinu, tena wengine kuhusisha hata ndugu ama rafiki zako wa karibu kushawishi.
Unaliliwa na kubembelezwa hadi unaguswa kwenye hisia zako, unasamahe na unaachia!
Huo ni mtazamo wako...x hana nafasi kabisaa kwenye maisha yangu ...

Kama hela mimi nafanya kazi hazijawahi kuwa kishawishi kwangu
 
Huo ni mtazamo wako...x hana nafasi kabisaa kwenye maisha yangu ...

Kama hela mimi nafanya kazi hazijawahi kuwa kishawishi kwangu
Basi kama yote usemayo ndiyo msimamo wako kwa 100%, cheo chako ni 'real woman', nimekupa mimi, cheo hicho ni chako na unastahili sifa.

Nimesema hivyo kwa sababu, wanawake wengi ni dhaifu sana katika uthabiti wa maamuzi.

Wanachezewa na kutupwa kama takataka na kurejeshwa na kutupwa tena na tena.

Ni michezo isiyo na mwisho hadi watu wanazeeka lakini hawajapata ufumbuzi kwa kuwa hawana msimamo kama wako.
 
Duuh
 
Back
Top Bottom