uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Ninampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa,
Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?
Tatizo ni mpenzi wako Hana msimamo! Achana na huyo jamaa, kuna namna nyingi sana za kumkomesha mtu kama hiyo, zikishindikana hata vyombo vya USA kama, the thing is tatizo unalo wewe ambaye wakubali huyo mwanamke akuchezee