Msichana wangu

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Tumekuwa marafiki kama mwezi na nusu sasa.
Tatizo nikiwa naye mzee anagoma kabisa kupanda mtungi.
Nikienda kwenye makoloni mengine, napiga mzigi hadi asubuhi.
Fumbo hili limeniacha hoi, je ninarogwa na wanaonionea wivu kwa binti huyu, au tatizo laweza kuwa nini?
Binti akiondoka tu kurudi kwake, kitu kinasimama kama mnara wa voda.
 
Njoo ufanyiwe maombi, njoo uombewe, njoo ufanyiwe maombi ya sala ya toba.
Kwa kuzini umetenda dhambi na umelichafua hekalu la roho mtakatifu.
Tulia chini, mwombe mungu akuonyeshe yule anayekufaa kuona na kuishi naye kama ubavu wako.
 

Hujalogwa chochote punguza uzinzi!
 
Umependa sana bulaza pia inawezekana huamini kama Binti kakupa upige mzigo!!!
Tulia umwone kama hao wanawake wengine bulaza!!
 
presha tu ya CHOMBO KIPYA..labda ulimpania saaaaaaaaaaaana
tulia2,afta kuzoeana sana iyo hali itapotea..just try 2b closer to her na ile michezo mcheze sana itakufanya asiwe mwoga tena kwake na itakufanya umzoee hali itakayofanyua akili yako imkubali na kutoa ushirikiano wote wakat wa HITAJI.
NAWASILISHA
 
si ulitwambia umeokoka wewe,sasa vipi tena?
 
Huenda ni mzuri na mrembo sana na hujawahi kupata wa ina yake, kwako imekuwa kama ndoto na umeloose confidence.
Jiamini, jiambie unaweza, and verything will be ok
 
kwanini usitulie ukaomba mungu akupe mke??mwisho wa maangaiko ni mbaya
 
si ulitwambia umeokoka wewe,sasa vipi tena?

Hapo alitaka kumwopoa huyu binti mtumishi wa mungu... kila akimkaribia anakemea kiroho roho na dudu inalala

Ashindwe na ilegee kabisa!
 
Haha ha aha ha aha haha aha ha ah aha aha hiii imenichekesha sana, ya dudu kupigwa nusu kaputi na maombi
 
Asije akawa kafungwa na babake, mchunguze vizuri katoka sehemu gani huyo mdada!!!!!!!!!!
 
angalia huyo atakuwa mke mdogo wa.............................(fill the blank)
 
TATIZO LAKO NI KUWA,..KABLA HUJAKUTANA NAE UNATUMIA MUDA MWINGI KUMUWAZA WAKATI HUO UKIWA UMESIMAMISHA.MKIJA KUTANA JOGOO KESHACHOKA KUWIKA MASAA MENGI BILA JUA KUCHOMOZA.
USHAURI.Achana ma shughuli ya kutest,oa kabisa kabla hujatangazwa mtaani kuwa wewe si rijali.
 
Njoo ufanyiwe maombi, njoo uombewe, njoo ufanyiwe maombi ya sala ya toba.
Kwa kuzini umetenda dhambi na umelichafua hekalu la roho mtakatifu.
Tulia chini, mwombe mungu akuonyeshe yule anayekufaa kuona na kuishi naye kama ubavu wako.
anahitaji ushauri wa Born mwaitege huyu..you've made my day aisee...
 
Mkuu hapo we sepa huwezi jua hali hiyo inakuokoa na nini,mwenzio imeshanikuta hali kama hiyo na nilihangaika usiku kucha lakini ilishindikana kesho yake mtoto kanitangaza si ridhiki mtaa mzima,wakawa wanabishana na wenzake mbona kwangu aliweza?Sasa hivi tunapoongea hatunaye tena kwa kuwa kale kaugonjwa ketu kalimchukua,hivyo wala usishangae na ukimbie usirudi huwezijua malaika wako anakulinda na maswaibu gani.
 
muulize kama anapata matatizo hayo kabla alipokuwa na wengine, hapo kama ni hivyo mpeleke kanisani asaliwe au muombe Mungu amfungue

watu wengine inawatokea kama walimkosea mtu b4 na wanafanyiziwa wasile raha tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…