Miss Judith wewe una makoloni mangapi?
Nasikia kabila lenu mafiga matatu ni basic need

Asije akawa kafungwa na babake, mchunguze vizuri katoka sehemu gani huyo mdada!!!!!!!!!!
Mkuu hapo we sepa huwezi jua hali hiyo inakuokoa na nini,mwenzio imeshanikuta hali kama hiyo na nilihangaika usiku kucha lakini ilishindikana kesho yake mtoto kanitangaza si ridhiki mtaa mzima,wakawa wanabishana na wenzake mbona kwangu aliweza?Sasa hivi tunapoongea hatunaye tena kwa kuwa kale kaugonjwa ketu kalimchukua,hivyo wala usishangae na ukimbie usirudi huwezijua malaika wako anakulinda na maswaibu gani.

MH!let God do the rest,u have done your part,..Tumekuwa marafiki kama mwezi na nusu sasa.
Tatizo nikiwa naye mzee anagoma kabisa kupanda mtungi.
Nikienda kwenye makoloni mengine, napiga mzigi hadi asubuhi.
Fumbo hili limeniacha hoi, je ninarogwa na wanaonionea wivu kwa binti huyu, au tatizo laweza kuwa nini?
Binti akiondoka tu kurudi kwake, kitu kinasimama kama mnara wa voda.
Tumekuwa marafiki kama mwezi na nusu sasa.