capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,363
- 121,260
Chief soda stumii,Wakikuelewa kunywa soda nakuja kulipa.
Dooh tenaa??sawa let's keep on practiziingMoral lesson is... Practice makes Perfect. Nothing beats preparation. I am Head of my Girlfriend.. So that when we marry, I'll not depart from it. Don't get it twisted.
Uki - practice, wana practice pia to become a better wife ikiwemo ku-control income yako. Don get twisted Boss!Dooh tenaa??sawa let's keep on practiziing
Sio girfriends wangu tu, hii ipo sana tu .. mdada hata ujamtambulisha kwa familia hata mpango nae huna anataka akutawale as if ume muoa tayari.Itakuwa aina ya girlfriends unakuwa nao wanakufanya uwe na quotation tata sana.
Kimsingi wanawake wana umimi na kupenda kumiliki hata kisicho chake na ambacho hana uwezo nacho...Sio girfriends wangu tu, hii ipo sana tu .. mdada hata ujamtambulisha kwa familia hata mpango nae huna anataka akutawale as if ume muoa tayari.
Hah haKimsingi wanawake wana umimi na kupenda kumiliki hata kisicho chake na ambacho hana uwezo nacho...
Ndio maana hata uzi wanaupita tu.
HakikaA girlfriend is not a sexual object ooooh. Get married my friend oooh and start sexual relations with your wife.
Na hii pia msichanganye.
Hata Kwa MKE pia don Get twistedHah ha
Hua nashangaa kuitwa MUME akati sina hata kugusia swala la kuoana .. Ladies pls Don't get twisted!