Mtajijua wenyewe tunacho taka sisi Ukraine niendelee kupondwa pondwa tu
Kweli kabisaNa Urusi Hahitaji Hisan Ya Nchi yeyote
Kukipiga Kinapigwa
Wakitaka Iishe Itaisha
Kama wewe ulivyo mwehu kuunga mkono uvamizi wa wazayuni dhidi ya ardhi za palestinaUtakuwa mwehu kuunga mkono uvamizi wa Russia nchini Ukraine.
Maamuzi mengi makubwa nchini Marekani yanafanyika kwa mfumo wa ushirikishaji mpana wa Watu wengi wenye dhamana ya kufanya maamuzi, Rais peke yake hawezi kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa nchi bila ya wenzake kuridhia, licha ya kwamba yeye Rais kwenye baadhi ya maamuzi fulani fulani anayo mamlaka ya Kura ya Turufu (Veto).Sera ya MAREKANI ni ileile.
1) Ulinzi wa Israel
2) Ulinzi wa western Europe
3) NATO
4) Middle East
5) Far East
Kila kiongozi wa MAREKANI anahakikisha anatimiza hizo Sera.
Wanatofautiana misimamo tu.
Kwa hiyo tusidanganyike eti Trump atamaliza Vita ya Ukraine, hapana. Ni uongo. Ukraine na Russia wataendelea kupigana na serikali ya MAREKANI itaendelea kumsaidia Zelensky.
Huwezi kutenganisha USA na western Europe, USA na Israel.
Uhai wa MAREKANI ki biashara mkononi mwa western Europe, Australia, Canada, Japan, Korea, Taiwan.
Kwa sababu kwa muda mrefu wamekuwa wakisikia wimbo mmoja tu kuwa Tanzania ni nchi ya amani.Tangu Trump ashinde ni habari za Ukrane tu duuh.
Kwanin mnapenda vita vita tu, kwani amani inawakosesha nin
Usijidanganye hana unaa wa kibongo nyeupe anasema nyeupe na nyeusi ni nyeusi hana mambo ya sii hasaa za bongo.Binafsi na mfana nisha na Victor Orban na Mr.Moscovistch. a.k.a Mwamba Putin.Sera ya MAREKANI ni ileile.
1) Ulinzi wa Israel
2) Ulinzi wa western Europe
3) NATO
4) Middle East
5) Far East
Kila kiongozi wa MAREKANI anahakikisha anatimiza hizo Sera.
Wanatofautiana misimamo tu.
Kwa hiyo tusidanganyike eti Trump atamaliza Vita ya Ukraine, hapana. Ni uongo. Ukraine na Russia wataendelea kupigana na serikali ya MAREKANI itaendelea kumsaidia Zelensky.
Huwezi kutenganisha USA na western Europe, USA na Israel.
Uhai wa MAREKANI ki biashara mkononi mwa western Europe, Australia, Canada, Japan, Korea, Taiwan.
Misimamo ya Rais Trump inafanana Sana na misimamo ya aliyekuwa Rais wa zamani wa Afrika ya Kusini enzi za ubaguzi wa rangi Bw. Pieter W. Botha. Trump na Botha wanafanana kwa mambo mengi Sana.Usijidanganye hana unaa wa kibongo nyeupe anasema nyeupe na nyeusi ni nyeusi hana mambo ya sii hasaa za bongo.Binafsi na mfana nisha na Victor Orban na Mr.Moscovistch. a.k.a Mwamba Putin.
Mbona Biden hakutimiza hilo? Au hakuwa rais wa USASera ya MAREKANI ni ileile.