Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Zelensky anajuwa kabisa kushinda kwa Trump ndiyo mwisho wake. Labda wewe Trump wa Buza Makangarawe ndiyo umpelekee hiyo misaada.Sera ya MAREKANI ni ileile.
1) Ulinzi wa Israel
2) Ulinzi wa western Europe
3) NATO
4) Middle East
5) Far East
Kila kiongozi wa MAREKANI anahakikisha anatimiza hizo Sera.
Wanatofautiana misimamo tu.
Kwa hiyo tusidanganyike eti Trump atamaliza Vita ya Ukraine, hapana. Ni uongo. Ukraine na Russia wataendelea kupigana na serikali ya MAREKANI itaendelea kumsaidia Zelensky.
Huwezi kutenganisha USA na western Europe, USA na Israel.
Uhai wa MAREKANI ki biashara mkononi mwa western Europe, Australia, Canada, Japan, Korea, Taiwan.
Trump meets Zelensky and says it's time to end Russia's war
The last-minute meeting in New York comes amid Trump's increasing criticism of US funding for the war in Ukraine.