Msidanganyike, Trump hawezi kurusu Ukraine iangukie mkononi mwa Urusi

Zelensky anajuwa kabisa kushinda kwa Trump ndiyo mwisho wake. Labda wewe Trump wa Buza Makangarawe ndiyo umpelekee hiyo misaada.

Soma full story hapa kuhusu msimamo wa Trump juu ya Zelensky

 
Vita vya Ukraine vilikuwa na masilahi binafsi ya familia ya Joe Biden kwenye zile biolabs.

Hapa kuna muhtasari wa mambo yanayohusika:

1. Shughuli za Kibiashara za Hunter Biden nchini Ukraine:

Hunter Biden, mwana wa Joe Biden, alikuwa kwenye bodi ya Burisma, kampuni ya nishati ya Ukraine, kati ya mwaka 2014 na 2019. Nafasi yake ilileta maswali ya kimaadili kutokana na nafasi ya baba yake kama Makamu wa Rais wa Marekani na ushiriki wake kwenye sera za Marekani kuhusu Ukraine.

2. Maabara za Kibaiolojia zilizofadhiliwa na Marekani nchini Ukraine:

Marekani imekuwa ikisaidia maabara za utafiti wa kibaiolojia katika nchi kadhaa, ikiwa ni pamoja na Ukraine, kupitia programu kama vile Defense Threat Reduction Agency (DTRA) na Biological Threat Reduction Program (BTRP). Madhumuni ya maabara haya ni kulinda vijidudu na kufanya utafiti wa kinga dhidi ya magonjwa, na sio kutengeneza silaha za kibayolojia. Ushirikiano wa Ukraine na Marekani ni sehemu ya juhudi za kimataifa za kuzuia vitisho vya usalama wa kibayolojia.

3. Urais wa Zelensky:
Volodymyr Zelensky alichaguliwa kuwa rais mwaka 2019, na kurithi programu hizi za maabara ambazo tayari zilikuwa zimeanzishwa kama sehemu ya ushirikiano wa Ukraine na Marekani.
 
Hii vita Marekani ilishawashinda na mbaya zaidi wanaoumia ni ndugu zake Western Country hivyo kulikua hakuna njia nyingine zaidi ya kuruhusu mchakato wa kumaliza Vita, Pili Urusi hata leo ukiwaomba wamalize vita wanamaliza kihistoria Ukraine ni ndugu zao na hakuanzisha Vita kwa lengo la kuichukua Ukraine bali alitaka wasitishe mission yao ya kujiunga Nato na kujenga Military Base za Kimarekani pale Ukraine kulingana na Agreement walizoingia kipindi wanatengana
 
Uongo mkubwa sana huu.
Msaada wa Silaha za kivita kwa Ukraine ulitolewa kwa ridhaa ya Serikali yote ya Marekani, Rais Biden hakuidhinisha kutolewa kwa misaada hiyo yeye peke yake binafsi bila ya kupata ridhaa kutoka kwa Mamlaka na Mabunge ya nchi hiyo, hususani Bunge la Seneti. Endapo kama Maseneta wa Bunge la Seneti kutoka kwa Vyama vyote vikubwa (Democrats and Republicans) wasingeridhia kutolewa kwa Misaada hiyo ya kijeshi kwa Ukraine, basi kamwe Rais Joe Biden peke yake asingeweza kutoa misaada hiyo kwa Ukraine.
 
Bakia na unachoamini. Lakini mwisho wa Joe Biden ndiyo mwisho wa vita vya Ukraine
 
Hezbullah, Hamasi, Yemen na Iran hawana shida na Trump wala USA. Mwinye shida na Trump ni viongozi wa Gulf states na israel na Ukraine pamoja na Europe.
 
... MFUPA ULIOMSHINDA FISI!
😅
... YALE MABOMU HAYATAELEKEZWA AFRICA, LAKINI SISI TUTAKUFA POLEPOLE NA KWA UCHUNGU ZAIDI, ... KWA NJAA!💀💀💀☠️
 
Ukraine haipo NATO...
 
Atafanya nn?
 
Akikubali kuiacha Ukraine basi ajue naye ikizuka vita hana msaada kutoka nchi za ulaya.

Akikubali tu, China wanavamia Taiwan, kwasababu Europe watamuachia hiyo vita yeye USA apambane na Russia,China, na NK pekeyake.

Hawezi kukubali hilo.
 
Wala Urusi haitaki, asichotaka Mrusi ni wao kujiunga na nato na kuja kuweka base zao za kijeshi hapo.

Trump kishasema haruhusu Ukraine ijiunge na nato. Hataki vita.
 

Sio Africa tuu hata china na Russia maraisi waio ni kama miungu
 
Usijidanganye hana unaa wa kibongo nyeupe anasema nyeupe na nyeusi ni nyeusi hana mambo ya sii hasaa za bongo.Binafsi na mfana nisha na Victor Orban na Mr.Moscovistch. a.k.a Mwamba Putin.
Kwani urusi kunakuwaga na uchaguzi kama usa?
 
Sio Africa tuu hata china na Russia maraisi waio ni kama miungu
China na Urusi zote hizo ni nchi zenye tawala za Siasa za Kikomunisti/Ujamaa, pamoja na nchi zingine kama vile Korea ya Kaskazini, Belarus, Cuba, n.k. Kwenye hizi nchi zote kabisa kuna tawala za kidhalimu.
 
Utakuwa mwehu kuunga mkono uvamizi wa Russia nchini Ukraine.
anaunga mkono uvamizi wa putin huku akipinga uvamizi wa netanyahu...............uvamizi ni uvamizi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…