Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Sijasikiliza hiyo clip yote ya Nchimbi, ila kwa mtazamo wangu, kaongea hayo ikiwa ni kuitikia ushauri wa Polepole kuwa chama chao(CCM) kilipswa na kinapaswa .kukemea utekaji kama ambavyo chama enzi za Magufuli kilikemea utekaji ingawa mimi huo ukemeaji naona ulikuwa ukemeqji wa kinafiki tu
Nondo za Polepole zinawagusa mpaka kwenye mifupa.
Nondo za Polepole zinawagusa mpaka kwenye mifupa.