Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Hiyo clip yenyewe ni ya zamani wala sio ya karibuni. Na hakuna chochote kilitekelezwa maana bado watu wamendelea kutekwa na hajawahi kuongea. Alikua anaongea kupoza hasira ya umma.Sijasikiliza hiyo clip ya Nchimbi, ila kwa mtazamo wangu kaongea hayo ikiwa ni kuitikia ushauri wa Polepole kuwa chama chao kilipswa.kukemea utekaji kama ambavyo chama enzi za Magufuli kilikemea utekaji ingawa huo ukemeajo nao ulikuwa ukemeqji wa kinafiki tu.
Nondo za Polepole zinawagusa mpaka kwenye mifupa.
Okay, asante kwa ufafanuzi.Hiyo clip yenyewe ni ya zamani wala sio ya karibuni. Na hakuna chochote kilitekelezwa maana bado watu wamendelea kutekwa na hajawahi kuongea. Alikua anaongea kupoza hasira ya umma.
Eti mkuu ile video ya Nchimbi ni ya lini?ππππ Umestukia Mapema sana!