Unaweza kuchukulia masihara kuhusiana na msimamo wa mashabiki wa yanga lakini jambo hili linaweza kuhatarisha usalama wa nchi kwa namna uadui unavyokua kila siku.
Nafikiria jambo sahihi watakalofanya TFF ni kufuata kanuni kwa sasa bila kupindisha.Lakini matokeo ya wao kufuata kanuni,nina uhakika yatajibiwa kihalifu na makundi ya watu wahuni wasio na akili wala uelewa wa mambo nao wanaongozwa na hisia Kali za ushabiki wa timu .
Bahati mbaya akili zao zimeoshwa ziko tupu kutokana na propaganda zikiongozwa na mtu anayeongoza klabu yao.
Kufanya mambo kuwa mabaya zaidi,wapo pia wanasiasa wenye nguvu walioamua kulivuruga soka kwa kuingiza siasa na maigizo mengi kwenye soka.
Tatizo la TFF lilianza pale walipoamua kuzubeba timu hizi kubwa ambazo zinajitahidi kuwekeza pesa nyingi kwenye soka.
Huenda walikuwa na lengo zuri kwamba wawe na timu bora zinazowakilisha kimataifa.
Lakini utaona hao TFF walivyoruhusu udhamini wa timu kutoka kwa mtu mmoja na kuruhusu matukio yanayoashiria upangwaji wa matokeo.
Matokeo yake timu zinashindwa kutoboa hata makundi.
TFF kama wameamua kutojiuzulu,watumie muda huu kujifunza na kuhakikisha wanadhibiti vikali michezo ya ushindi nje ya uwanja na kuweka adhabu ya kunyang'anya pointi timu zinazopanga matokeo kama Singida alivyowapangia yanga kikosi dhaifu.
Nawaomba serikali msithubutu kuingilia sakata hili kwani waziri wa michezo alijaribu kutafuta suluhu lakini walimdharau.
Huyo Rais mwenyewe aliwahi kuomba mechi isogezwe mbele masaa,lakini hawa jamaa kwa ujeuri wao walimgomea.
Kwa sasa kanuni zifuatwe bila hofu yoyote kwani soka litaendelea kuchezwa tu na sasa tunataka timu zifanye vizuri kimataifa.
Hili joka linalotushia tulilifuga wenyewe ila tukiwa na msimamo litakuwa kama joka la mdimu tu.
Achana na mashabiki zake ambao wengi hawana akili isipokuwa wazee wawili na yule wa tatu mwenye timu yake anayeililia kila siku