Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani, sikuja kuleta amani bali upanga.” Mat10:34 na Luka 12:51-52

Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani, sikuja kuleta amani bali upanga.” Mat10:34 na Luka 12:51-52

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
13,682
Reaction score
41,162
Biblia inaeleza wazi kuwa Nabii Yesu alisema hivo je kweli, utabiri huu umetimia kwani kwa sasa Ukristo umegawanyika katika zaidi ya madhehebu, dini au sekta 45,000 duniani kote.

Cha kushangaza kuhusu idadi hii ni kwamba karibu kila kikundi kati ya hivyo kinadai kwamba Yesu ndiye aliyeanzisha dini yao.

Je, Yesu aliunda dini zaidi ya 45,000 zenye mafundisho tofauti sana? Mgawanyiko huu wa ajabu ndani ya Ukristo unatokana na tofauti ya msingi kuhusu Biblia yenyewe. Makundi ya Kikristo hata hayawezi kukubaliana kuhusu tafsiri ipi ya Biblia inayopaswa kutumika-kila moja hutegemea toleo lake.

Badala ya kufuata ujumbe wa kweli wa Biblia, wengi wanashikilia tafsiri zao binafsi.Na badala ya kumtambua Yesu kama nabii wa kweli, wengi huchagua kumfanya kuwa Mungu.

"Mahali ambapo wafu (imani iliyokufa) wapo, ndipo tai hukusanyika!" Mathayo 24:28
 
Huu ni ujumbe wa kufikirisha sana. Je, dini yenye zaidi ya madhehebu 45,000 inaweza kuwa imani ya kweli isiyochanganyika? Imani ya kweli haipaswi kuwa na mgawanyiko wa namna hii, bali umoja na msimamo mmoja juu ya Mungu na ujumbe wake.
 
Hii hapa mifano ya baadhi ya madhehebu makuu ya Kikristo Tanzania tu.

1. Katoliki (Roman Catholic)

  • []Linaloongozwa na Papa kutoka Vatikani.
    []Linaamini katika mapokeo, Maandiko, na sakramenti 7.

2. Othodoksi ya Mashariki (Eastern Orthodox)

  • []Linafuata mapokeo ya mitume na kanisa la awali la Mashariki.
    []Haliitambui mamlaka ya Papa.

3. Uprotestanti (Protestant)
Hii ni kundi kubwa lenye madhehebu mengi ndani yake, mfano:
4 Anglikana (Anglican/Episcopal)
5.Lutheran
6.Baptist
7.Methodist
8.Presbyterian
9 Pentekoste (Pentecostal)
10.Evangelical
11.Adventista Wasabato (Seventh Day Adventist)
12.Jehovah’s Witnesses (Mashahidi wa Yehova)
13.Mormon (Church of Jesus Christ of Latter-Day Saints)
14.Quakers (Society of Friends)
15.Christian Science
16.Assemblies of God
17.Nazarenes.

Kila moja lina tafsiri tofauti za Maandiko, ibada, mafundisho ya wokovu, Roho Mtakatifu, na utatu. Ndiyo maana kuna zaidi ya madhehebu 45,000 duniani.
 
Biblia inaeleza wazi kuwa Nabii Yesu alisema hivo je kweli, utabiri huu umetimia kwani kwa sasa Ukristo umegawanyika katika zaidi ya madhehebu, dini au sekta 45,000 duniani kote.

Cha kushangaza kuhusu idadi hii ni kwamba karibu kila kikundi kati ya hivyo kinadai kwamba Yesu ndiye aliyeanzisha dini yao.

Je, Yesu aliunda dini zaidi ya 45,000 zenye mafundisho tofauti sana? Mgawanyiko huu wa ajabu ndani ya Ukristo unatokana na tofauti ya msingi kuhusu Biblia yenyewe. Makundi ya Kikristo hata hayawezi kukubaliana kuhusu tafsiri ipi ya Biblia inayopaswa kutumika-kila moja hutegemea toleo lake.

Badala ya kufuata ujumbe wa kweli wa Biblia, wengi wanashikilia tafsiri zao binafsi.Na badala ya kumtambua Yesu kama nabii wa kweli, wengi huchagua kumfanya kuwa Mungu.

"Mahali ambapo wafu (imani iliyokufa) wapo, ndipo tai hukusanyika!" Mathayo 24:28
Haiwezakani dini ya ukweli kua na madhehebu Zaidi ya 45,000 labda kila kundi lina masirahi yake yasio ya kidini.
 
Back
Top Bottom