MSIDNGANYIKE MKIUZA KIWANJA AMA NYUM.BA SERKL ZA MITAA HAPEWI KITU UNLESS N UTASHI WAKO KUSEMA AHSANTE

MSIDNGANYIKE MKIUZA KIWANJA AMA NYUM.BA SERKL ZA MITAA HAPEWI KITU UNLESS N UTASHI WAKO KUSEMA AHSANTE

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wiki iliyopita, Bunju kulikuwa kuna kiwanja cha jamaa kinauzwa, na mimi nilikuwa mmoja wa mashahidi. Gafla, serkali za mitaa zilianza kutaka kuulizia kiwanja kinauzwa shilingi ngapi. Mnunuzi akamwambia hiyo ni makubaliano yangu na anayeniuziya. Mwenyekiti akakataa kutoa ushirikiano mpaka ajue shilingi ngapi.

Alipoulizwa, akajibu kwa amani. Mtendaji alipofika, akampigia simu jamaa yetu, “Kaka njoo,” na wakaonana sehemu ya chakula, ambapo alikumbwa na heshima kama boss mnunuzi. Alipofika, alielezwa, “Mimi ni mtendaji, hawa ndio wanahusika na hiki kiwanja, naomba nikuhakikishie hilo.”

Jana, akapigiwa simu njoo kwa wakili sehemu fulani, na alipokwenda, akalamba hela yake safi ya ahsante. Leo, vifaa vinasafirishwa kwa lori za maatoafa, na mwenyekiti anapiga simu, akijibiwa kuwa ana makaratasi ya mwanasheria.

Akaanza kuwa mpole, na ndugu, hata kuonyesha umuhimu wangu, akamwambia, “Wewe si unataka kujua bei ya kiwanja cha mtu? Hiyo sio kazi yako... ujenzi unaendelea.” Nikasema kumbe hawa jamaa wanawapiga sana wananchi. Kuna sehemu mwenyekiti alitaka asilimia 7 ya mauzo, akajibiwa, “Subiri.” Akakutana na manyoya.
 
Unaenda kununua plot wanasombana mwenyekiti na wajumbe wake karibu sita wote wanataka chochote!

Yaani waafrika kwa uvivu na ujinga hatujambo
Ungeseee sana
 
Unaenda kununua plot wanasombana mwenyekiti na wajumbe wake karibu sita wote wanataka chochote!

Yaani waafrika kwa uvivu na ujinga hatujambo
Wanakuja ukooo mzima kama unagawa urithiiii
 
RAHA YA MILELE IWAPEE EBWANA NA MWANGA WA MILELE UWANGAZIE WAPUMZIKE KWA AMANI HII KESI ILIFIKA MPAKA JUU WAKAULIZWA NANI KAWAMBIA MCHUKUE HIZO HELA NAHISI WANAOCHUKUA WANAGAWANA MBAFUZQOO
 
Back
Top Bottom