Msifurahi Juu yangu, enyi adui zangu - Simba

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Msifurahi yangu ewe adui yangu,niangukapo Mimi, nitasimama tena
Si vyema kunisema vibaya,nipatapo tatizo,shetani wampa nafasi ndani ya moyo wako!! Aliimba martha,huo ndo wimbo ambao mashabiki wa mikia fc wanasikiliza sana kwa sasa

Wanasema ufupi sio kilema,ndo maana hawatembelei magongo. Mambo sio mambo msimbazi,wao wanaamini sare hizo ni upepo tu utapita
Wakiwakiwakabirisha wakata miwa wikendi hii,simba aliyelowa atapata tena nafasi kudhihirisha kama anaweza kung'ata.

Kenda hapo mbali na kumi,na kumi ukijumlisha moja bado dazani !!

Tusubiri tuonee,simba atapakatwa tena au atakula miwa?

Pole simba,kumbuka naenda tenzi na omo,marejeo ngomani,je simba watarejea?


Mimi ni Deo Corleone kwa niaba ya Binge hemed kivuyo wa itviiiiiiii
 
asante kwa shairi taamu na limuendee mr aveva
 
Ukichanganyia na onyo walilopewa benchi la ufundi, jumamosi naiona ipo mbali sana...
"Kweli kenda haipo mbali na na kumi, na tuisubiri hiyo siku".
 
Ukichanganyia na onyo walilopewa benchi la ufundi, jumamosi naiona ipo mbali sana...
"Kweli kenda haipo mbali na na kumi, na tuisubiri hiyo siku".
Nitashangilia mtibwa kwa nguvu na akili zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…