Msigwa acha propaganda hazikusaidii, Hamza ni wa CCM, unataka ushindi gani?

Maoni yako hapo juu yametosha kujua wewe ni mtu gani!
Nisamehe nilitaka nikushambulie lkn I'm too old for that
hamna haja ya kushambuliana. hoja zikikuchanganya unaondoka kimya kimya.
 
Mara nyingine wapangaji wa mipango dhalimu kwa nchi wamejificha kwenye siasa kama maficho na platform ya kutekeleza mipango yao mibaya. Na wanapotenda uovu watu badala ya kuangalia hatari ya kile kilichofanyika wanaanza kujadili na mambo ya siasa. Wao wanafurahi kwa kuwa wamefanikiwa kuficha id zao.

Ukitaka kuamini baada ya hili gaidi kuuawa ndugu zake halisi ndio walioibuka na tena sio hao wa hicho chama mnachokituhumu alitoka.

Fuatilia video ya mazishi yale kuna mtu mmoja aliyejitokeza akisema yeye ndio msemsji wa familia yake, halafu fuatilia kampeni za uchaguzi mkuu uliopita kuna kiongozi mmoja wa dini alikuwa anaambatana na mgombea mmoja wa upinzani ambaye alikuwa anatoa dua za ajabu ajabu, fuatilia hiyo sura vizuri uunganishe na huyo msemaji wa hiyo familia, utajua nchi yetu ilikofikia
 

When IGNORANCE SCREAMS, intelligence moves on.
 
hahahaha, shusha clips hapa.
 
Utakuwa na hoja unasema gaidi alikuwa mtu mwema by hear say tena ya mtandaoni iliyosambazwa na mtu mmoja
Ndio nimekuambia bora nikuache na ujinga wako
hamna haja ya kushambuliana. hoja zikikuchanganya unaondoka kimya kimya.
 
Hahaha wanamkana gaidi mwenzao?
 
Yeah inajulikana kuna ajenda nyuma ya pazia bahati mbaya watanzania wengi hawajajua but the elites are fighting back kufanya nchi iwe salama na kamwe hawataweza
Taifa hili linamisingi imara kila anayejaribu kuligeuza juu chini huishia kuaibika yeye
 
Hahaha
 
Yeah inajulikana kuna ajenda nyuma ya pazia bahati mbaya watanzania wengi hawajajua but the elites are fighting back kufanya nchi iwe salama na kamwe hawataweza
Taifa hili linamisingi imara kila anayejaribu kuligeuza juu chini huishia kuaibika yeye
Ndio maana waasi wote na wahamiaji haramu wako ndani ya ccm.
 
Kwani akiwa ni mcc anayofanya anatumwa na ccm?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Weka hao mashahidi hapa video zao wakielezea hayo!

Video iliyopo ni iliyochukuliwa kwenye bus inayoonesha analalamika Siro kuua vijana wa kiislam huko kusini na anasema yeye anamtetea Allah!

Wewe video yako inayosema alidhurumiwa madini iko wapi?
Hawajielewi hawa nyumbu achana nao
 
nshakuambia acha kukalili hausikii, usilete mambo ya shuleni kwenye maisha. tunawapeleka shule mkakukuze uwezo wenu wa kufikiri sio kukalili.
Wewe mwenye uwezo wa kufikiri weka ushahidi hapa kuwa Hamza alitapeliwa madini na polisi
 
Hivi Uthibitisho huwa unafanyika wapi? Hbari Maelezo au mahakamani? Ni Kwa nini msemaji wa serikali aligeuka kuwa hakimu bila kuwashitaki watuhumiwa - Raia Mwema?
 
Wewe mwenye uwezo wa kufikiri weka ushahidi hapa kuwa Hamza alitapeliwa madini na polisi
wewe hemu tumia akili wewe, umewezaje kutumia internet na akili za namna hii aisee.

Labda nikupe shule kidogo, sababu namna unavyofikiria lazima inakusababishia stress nyingi sana kwenye maisha.

Hivi kwenye issue ya Hamza na Polisi mimi au wewe tunaingiaje ingiaje na kuanza kujipa wajibu wa kuthibitisha mambo yao?
Amza kafariki, Jeshi la Polisi lipo, hilo ndilo linalopaswa kueleza na kujibu maswali yetu yote. unasikia?

acha kuapproach maisha kishindani.

relux.

umesikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…