kwahiyo unategemea mema kutoka kwa mzungu?Gentlemen huitakii mema Tanzania, jitathmini kwa sasa umepotea
Mali iliyopatikana kwa wizi huishia kupotea, kuharibiwa au kuliwa na wengine..Mneona kwenye fedha hatuta arhirika mmechapukia upande mwingine,amerika na Tanzania are closely friends,and tanzania couldnt stay quiet over sabotage of hooligan to our national facilities which are sometimes funded by amerika or EU,we work well and better with grants they gives us,so its a stupidity to leaves that facilities into burn ❤️🔥 down......View attachment 3611487
Gentleman,Tlatla katika nchi kitu muhimu ni historia. Uhuru wa nchi nyingi za kiafrika ikiwepo Tanganyika na Zanzibar umechangiwa na msaada kutoka nje.
Nafkiri umeshachagua upande no matter what utakuwa upande huo. Hiyo siyo kesi ila at least ndani ya moto wako unajua kabisa vikwazo vinaikost nchi kama Iran, Russia eta sisi tuna nini hapa chankusema tunaizidi Iran au Russia kwa uchumi?
Pambana, ndo maisha yako hayo. Otherwise utarudi kijijini kwenuMtaendelea kuinywa hii dawa hadi mpate nafuu ya akili.
Uhuru gani mnalinda, mko busy kuteka, kuua na kuiba chaguzi nchi nzima, watu wa hovyo sana nyieGentleman,
wew umezaliwa mwaka 1995, historia yako tangu ulipozaliwa na mpaka leo imekusadia nini kwa mfano hasa ukiwa mvivu?
Uhuru wa taifa letu ulishapiganiwa na kupatikana. Wajibu wetu tulipo sasa ni kuulinda uhuru huo kwa wivu mkubwa na kwakweli kwa nguvu zetu zote.
Hatuwezi kuinajisi uhuru wetu kwasababu ya misaada ya hiyari ya mataifa mengine. Tuna yetu na tuna uhuru wa kuyatumia bila wengine kutufundisha au kutuonea wivu 🐒
Kwanza hapo katika miaka umenifanya Mimi kuwa mdogo. Lakini si kitu mfano wako nimeuelewa.Gentleman,
wew umezaliwa mwaka 1995, historia yako tangu ulipozaliwa na mpaka leo imekusadia nini kwa mfano hasa ukiwa mvivu?
Uhuru wa taifa letu ulishapiganiwa na kupatikana. Wajibu wetu tulipo sasa ni kuulinda uhuru huo kwa wivu mkubwa na kwakweli kwa nguvu zetu zote.
Hatuwezi kuinajisi uhuru wetu kwasababu ya misaada ya hiyari ya mataifa mengine. Tuna yetu na tuna uhuru wa kuyatumia bila wengine kutufundisha au kutuonea wivu 🐒
Huku akiwa pump kwa kuwasii waumini wake waandamane,bila kuchoka, get know Ngwajima ni KIBWETERE,amini hili,......Mali iliyopatikana kwa wizi huishia kupotea, kuharibiwa au kuliwa na wengine..
Hiki ni cha mtoto. Makubwa zaidi yanakuja ndugu Crocodiletooth iwapo viongozi wa serikali hii haramu hawatageuka na kuacha njia nzao mbaya na ovu...
Askofu Josephat Gwajima siku chache kabla ya uchafuzi wa Oktoba mwaka jana aliwaonya CCM na Samia lakini hamkusikia, mkaendelea mbele na uovu wenu na kuishia kuua maelfu ya ndugu, dada, kaka, mama, watoto na baba zetu 29/10...
Askofu Gwajima alionya mapema kusema;
"....Kiongozi wa umma Rais, waziri, DC au RC au RPC au Mkurugenzi fulani ubajisikiaje unapokuwa hujali wananchi unaowaongoza, unawateka, unawapoteza na wengine kuwaua eti Wana makosa lakini huwafikishi mahakamani; kiongozi unapoiba mali na pesa za umma za wananchi hawa, unazifanya zako binafsi, unajijengea majumba makubwa, unajizungushia kuta ndefu za umeme eti kujilinda/usalama, ndani unafungia watoto wako wakinywa na kula na kusaza na kisha mabaki ya makombo wakiyarusha juu ya Kuta kuelekea nyumba za masikini hawa, wakati huohuo hapo kandokando tu ya nyumba yako hiyo wewe kiongozi umezungukwa na nyumba mbovu za tope za wananchi masikini unaojidai kuwaongoza, huku wakiwa hawana uhakika wa kesho yao watakula nini, hawana maji, umeme, watoto wao hawaendi shule na mateso mengine mengi....?
Askofu Josephat Gwajima aliendelea kusema;
"...,Ipo siku hawa watajikusanya 10,000 au hata 100,000 na kukufuata kukuuliza, ukishindwa kuwapa majibu sahihi ya kuridhisha, kwa hakika watapanda hizo kuta za nyumba zenu. Na nyie ili kujihami mtaita jeshi na Polisi kuwaokoa, pengine mataamuru waue kwa risasi za moto. Naawambia, wanaweza kuua baadhi tu 100 au 518 au 1,000; lakini uhakika ni kuwa 9,000 au 99,000 wataingia ndani ya nyumba zenu na kuwadaka na mtachinjwa nyie na familia zenu..."
Hotuba hii ya Askofu Josephat Gwajima, mimi niliielewa kwelikweli. Huu ni unabii unaotimia kwa kasi ya mwanga. Badidilikeni, tubuni, tendeni haki mtapona..
Otherwise, hiki ulichokiposti hapa, ni cha mtoto maana, the worst is coming...
Gentleman,Kwanza hapo katika miaka umenifanya Mimi kuwa mdogo. Lakini si kitu mfano wako nimeuelewa.
Katika taifa lolote likilobsahau historia yake ni taifa mfu. Ili imtawale mtu lazima umtoe ktk historia yake. Anyway, hapa hatupo ktk somo la historia na uraia.
Hapa tunazungumza uhalisia wa mambo. na kwa uhalisia wako unasema Tanzania inaweza kusimama bila misaada kutoka nje?
Unaongea hivyo ukiwa umekubaliana na akili yako au unasema ili kupata ushindi wa mjadala?
Abadan asirani haiwezekani labda kwa namna nyingine. Magu tried and failed. Na sijaona kiongozi mwingine mwenye uthubutu kama jiwe.
Hadi sasa nipo kijijini.Pambana, ndo maisha yako hayo. Otherwise utarudi kijijini kwenu
Brush up your English what you wrote is nonsensical tripe.this is useless and completely very nonsense narrative gentleman 🐒
Thubutu....Hadi sasa nipo kijijini.
Ushiishi enzi za ujima, nani alikudanganya watu wa vijijini hawana akili.Thubutu....
Siku ukirudi bush akili haitokuwa hii. Lazima utajikita kwenye uzalishaji wa moja kwa moja na sio kutegemea ajira hii isiyo na uhakika
Mwalimu,Brush up your English what you wrote is nonsensical tripe.

Kijijini wanaishi kwa raha na wanapiga hela vizr tu. Hawana akili za kutegemea kulipwa kwa kazi kama yako.Ushiishi enzi za ujima, nani alikudanganya watu wa vijijini hawana akili.
Kijijini watu wanaishi kwa raha kushinda wewe wa hapo Magomeni unayeshindia mihogo ya kuchoma.
HahahahZimbabwe to mention a few.
kwani mlipokua mnalipua vituo vya polisi, mafuta na makazi ya watu mlikua mnategemea nani aumie gentleman?🐒
View attachment 3611513
Tanzania inahitaji misaada au haihitaji misaada?Gentleman,
Tanzania tuna karibu kila kitu, sidhani kama tunahitaji misaada.
By the way,
misaada ni hiyari yao wenyewe, watoe ama wasitoe.
But haiwezekani kabisa misaada ya nchi yoyote ile duniani eti iwe sababu au chanzo cha kutweza uhuru wa taifa letu au kuingilia mambo ya msingi ndani ya taifa letu 🐒