Msigwa alijua nini...?

Huwa mnakurupuka!!
Mil.10 itaanza kutolewa nusu fainali, wewe tayaaari
Yaani Kazi sana. Mbaya zaidi hadi watangazaji nao hawajaelewa.. na ndio hao wanapotosha wananchi. Leo mtangaziji wa zbc2 anasema mama ameongeza dau...hajui kuwa dau linaanzia nusu fainal
 
Kama viongozi mmeanza kucheza mkeka kwenye mpira; mtawathibiti vipi vijana wanaoathirika na kamalı [kubet] wanazocheza kwenye mipira mitandaoni? Kwani imethibitika kuwa michezo hiyo ya mitandaoni ni addictive kama vile madawa ya kulevya!! Hivyo kuwachombeza vijana kwenye michezo ya kamali ni kuliangamiza Taifa bila kujua!
 
Yaani Kazi sana. Mbaya zaidi hadi watangazaji nao hawajaelewa.. na ndio hao wanapotosha wananchi. Leo mtangaziji wa zbc2 anasema mama ameongeza dau...hajui kuwa dau linaanzia nusu fainal
M 10 za Nini wakati umeme wa uhakika huna! Tatizo la Nchi hii sio katiba Ila wananchi wenyewe kushangilia vitu Vya hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…