General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Hizi M10 za mama walijua nini kama hakutakua na magoli...???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Kazi sana. Mbaya zaidi hadi watangazaji nao hawajaelewa.. na ndio hao wanapotosha wananchi. Leo mtangaziji wa zbc2 anasema mama ameongeza dau...hajui kuwa dau linaanzia nusu fainalHuwa mnakurupuka!!
Mil.10 itaanza kutolewa nusu fainali, wewe tayaaari
skia bro ile ten inaanzia mechi za nusu fainali sio hiziHizi M10 za mama walijua nini kama hakutakua na magoli...???
M 10 za Nini wakati umeme wa uhakika huna! Tatizo la Nchi hii sio katiba Ila wananchi wenyewe kushangilia vitu Vya hovyo.Yaani Kazi sana. Mbaya zaidi hadi watangazaji nao hawajaelewa.. na ndio hao wanapotosha wananchi. Leo mtangaziji wa zbc2 anasema mama ameongeza dau...hajui kuwa dau linaanzia nusu fainal