Msigwa amepost na kuomba comment ziwe fupifupi ila kafunga comments

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Screenshot_20251021_182728_Instagram.jpg
 
Sijawahi kuona serikali ya kipumbav kama hii..

...Serikali ambayo inaona kukabiliana na hasira za wanainchi ni kujiandaa kimapambano badala ya kutafuta chanzo cha hasira hizo ni nini na kisha kutafuta sulution sahihi isiyokuwa na gharama yoyote.

Mimi nachojiuliza tu, hata ikitokea wakapita salama hiyo tarehe 29, wataweza vipi kuwaongoza wanainchi ambao wamewakataa sio tu kwa maneno bali kwa vitendo kwa muda wa miaka mitano?

Kwamba sa100 anaona atatoboa miaka mitano licha ya hii hostility ambayo anaoneshwa na wanainchi?

Anyway ngoja tuone.
 
Hii ni dalili nzuri. Vijana wakijitokeza siku hiyo, wahuni watalazimika kukimbia nchi. Mpaka sasa hivi nguvu yao yote inawategemea polisi pekee! Na yote hii ni kwa sababu hao viumbe wengi wao ni vilaza wa kuendeshwa kama maroboti. Ukijia kwa upande wa wanajeshi, niamini mimi! Hali ni tofauti kabisa.
 
Time is good friend
 
Ana mhaho balaa, anavowapost hao ni kama zile enzi za utoto mtaa unawagopa vijana, basi akija braza wako unatembea nae mgongoni mwake hakuna kubanduka na unahakikisha kila mgomvi wako anamuona big bro uko naye
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Hii ni dalili nzuri. Vijana wakijitokeza siku hiyo, wahuni watalazimika kukimbia nchi. Mpaka sasa hivi nguvu yao yote inawategemea polisi pekee! Na yote hii ni kwa sababu hao viumbe wengi wao ni vilaza wa kuendeshwa kama maroboti. Ukijia kwa upande wa wanajeshi, niamini mimi! Hali ni tofauti kabisa.
Kabisa hii ni nafasi nzuri sana kipindi hiki ambacho wako kwenye panic mode, binafsi mim naamini hata kwenye hilo hilo jopo lake tu analotembea nalo kuna watu watamsaliti pale kitakaponuka hasa wale marafiki wa polepole.

Ni kweli kabisa nguvu yake sasa hivi ameielekezea kwa mapolisi ambao sio wenhi kihivyo... namiini watu milioni 1 tu wanatosha kuliokoa hili taifa na kuandika historia mpya kabisa kwenye taifa letu.
 
Huyo hafai kuwa msemaji wa serikali bali muimba mipasho wa serikali.

Juzi hapa nilishangaa msemaji wa serikali hajui kuandika neno "werevu" anaandika "welevu".

Msemaji wa serikali hana tangible issues anajadili ni kuokoteza ujinga ujinga tu anabandika katika kurasa zake.

Bure kabisa.
 
Back
Top Bottom