Tangu Mchungaji Peter Msigwa akihame chame chake cha CHADEMA amejipambanua zaidi kwa kujikita katika kuishambulia CHADEMA kupitia Freeman Mbowe akimtwisha ubaya wote wa CHADEMA hadi kufikia kumuita Nkurunzinza, sasa baada ya Mbowe kuangushwa na rafiki yake Tundu Lissu je ataendelea kuishambulia CHADEMA?