Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Aliyekuwa kada wa CHADEMA Mch. Peter Msigwa amewaomba radhi wanachama wa CCM kwa maneno aliyokuwa akiyasema wakati akiwa upinzani.
Msigwa amesema, "CCM niwaombe radhi kwa maana nilikuwa mtata sana, ni kama yule kipofu Nilikuwa kipofu sasa naona, kama yule Paulo wa kwenye biblia alikuwa Sauli nuru ilipomuangazia akarudi akawa Paulo na mimi nuru imeniangazia" Amesema Msigwa.
Pia Msigwa amewataka viongozi wa CHADEMA wakiwemo Tundu Lissu, Freeman Mbowe na Joseph Mbilinyi "Sugu" kujiunga na CCM, "Kama wameshindwa kuwaongoza wananchi waje nyumbani kumenoga" Amesema Msigwa.