Msigwa awakabidhi Azam Fc Milion 10 za Goli la Mama

Msigwa awakabidhi Azam Fc Milion 10 za Goli la Mama

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Msemaji mkuu wa serikali ambaye pia ni katibu mkuu wa wizara ya Habari sanaa, utamaduni na michezo Greyson Msigwa amekabidhi kiasi cha Tsh. Milioni 10 kwa klabu ya Azam kama sehemu ya hamasa katika mashindano ya Kimataifa, Azam Fc walipata ushindi wa Goli 2 dhidi ya El Merriekh ya sudan.


Wakuu, Hivi hizi fedha za goli la mama ni kodi za watanzania au anatao kutoka mfukoni kwake?
 
Back
Top Bottom