DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa amewataka watanzania wajitokeze kupiga kura katika uchaguzi Mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka.
Akizungumza na waandishi wa habari Msegwa amesema kuwa vyombo vya ulinzi vimejipanga pamoja na Serikali pia imejipanga kwa sababu hakutakuwa na tishio wala kelele zozote siku hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari Msegwa amesema kuwa vyombo vya ulinzi vimejipanga pamoja na Serikali pia imejipanga kwa sababu hakutakuwa na tishio wala kelele zozote siku hiyo.