Huyu andunje anasababisha watu wafupi wadharaulike sanaa
Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa amewataka watanzania wajitokeze kupiga kura katika uchaguzi Mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka.
Akizungumza na waandishi wa habari Msegwa amesema kuwa vyombo vya ulinzi vimejipanga pamoja na Serikali pia imejipanga kwa sababu hakutakuwa na tishio wala kelele zozote siku hiyo.
Tutaona, ndio maana kajenga nyumba kule juu kwa ramani ya ikuluSerikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa amewataka watanzania wajitokeze kupiga kura katika uchaguzi Mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka.
Akizungumza na waandishi wa habari Msegwa amesema kuwa vyombo vya ulinzi vimejipanga pamoja na Serikali pia imejipanga kwa sababu hakutakuwa na tishio wala kelele zozote siku hiyo.
Huyu huyuSerikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa amewataka watanzania wajitokeze kupiga kura katika uchaguzi Mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka.
Akizungumza na waandishi wa habari Msegwa amesema kuwa vyombo vya ulinzi vimejipanga pamoja na Serikali pia imejipanga kwa sababu hakutakuwa na tishio wala kelele zozote siku hiyo.