Msigwa hapaswi kupewa heshima ya kurudi CHADEMA. Anapaswa kupewa Uanachama wa kawaida chini ya Uangalizi Maalum

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
4,675
Reaction score
6,428
Msigwa angeshinda ubunge au kupata cheo kupitia CCM asingehamia Leo chadema.

Tunatamani kuona chadema yenye msimamo inayoheshimika na kuaminika kwa wananchi sio usanii.

Siasa inagusa Maisha ya watu Moja Kwa Moja sio usanii na maigizo ya kipuuzi.

Chadema Ina mamilion ya wanachama wenye uwezo mkubwa Kila MAHALI ambao walikuwa wavumilivu Kwa kipindi chote kigumu Cha chama.

Msitake kuwavunja moyo wanachama wavumilivu na wenye Nia ya dhati ya kuona mabadiliko,
kisa ushikakaji wa viongozi na Msigwa

Msaliti wa chama hapaswi kupewa heshima hata kidogo maana alikuwa anajaribu kutoboa mtumbi chama kizame

Baada ya kupata dhamana ya ubunge Kwa miaka kadhaa anashindwa TU uchaguzi wa ndani anahama chama

Bora angehama chama akae kimya bila kukisema na kukichoma tungemuelewa.

Ugomvi wake na Mbowe haukumpa uhalali wa kukichafua chama na kukisaliti .

Chadema Bado inaandaliwa kushika uongozi wa nchi LAZIMA Muonyeshe uwezo wa mifumo yenu kabla kupewa hiyo nafasi.
Lazima Muonyeshe uwezo na ubora kuliko Ccm sio musuala ya kuoneana aibu kama ccm

Soma pia Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA
 
Msigwa angeshinda ubunge au kupata cheo kupitia CCM asingehamia Leo chadema

Tunatamani kuona chadema yenye msimamo inayoheshinika na kuaminika kwa wananchi sio usanii
Siasa inagusa Maisha ya watu Moja Kwa Moja sio usanii na maigizo ya kipuuzi

Chadema Ina mamilion ya wanachama wenye uwezo mkubwa Kila MAHALI ambao walikuwa wavumilivu Kwa kipindi chote kigumu Cha chama

Msitake kuwavunja moyo wanachama wavumilivu na wenye Nia ya dhati ya kuona mabadiliko kisa ushikakaji wa viongozi na Msigwa

Msaliti wa chama hapaswi kupewa heshima hata kidogo maana alikuwa anajaribu kutoboa mtumbi chama kizame

Baada ya kupata dhamana ya ubunge Kwa miaka kadhaa anashindwa TU uchaguzi wa ndani anahama chama

Bora angehama chama akae kimya bila kukisema na kukichoma tungemuelewa

Chadema Bado inaandaliwa kushika uongozi wa nchi LAZIMA Muonyeshe uwezo wa mifumo yenu kabla kupewa hiyo nafasi
Lazima Muonyeshe uwezo na ubora kuliko Ccm sio musuala ya kuoneana aibu kama ccm
downloadfile.png
 
Msigwa angeshinda ubunge au kupata cheo kupitia CCM asingehamia Leo chadema.

Tunatamani kuona chadema yenye msimamo inayoheshimika na kuaminika kwa wananchi sio usanii.

Siasa inagusa Maisha ya watu Moja Kwa Moja sio usanii na maigizo ya kipuuzi.

Chadema Ina mamilion ya wanachama wenye uwezo mkubwa Kila MAHALI ambao walikuwa wavumilivu Kwa kipindi chote kigumu Cha chama.

Msitake kuwavunja moyo wanachama wavumilivu na wenye Nia ya dhati ya kuona mabadiliko,
kisa ushikakaji wa viongozi na Msigwa

Msaliti wa chama hapaswi kupewa heshima hata kidogo maana alikuwa anajaribu kutoboa mtumbi chama kizame

Baada ya kupata dhamana ya ubunge Kwa miaka kadhaa anashindwa TU uchaguzi wa ndani anahama chama

Bora angehama chama akae kimya bila kukisema na kukichoma tungemuelewa.

Ugomvi wake na Mbowe haukumpa uhalali wa kukichafua chama na kukisaliti .

Chadema Bado inaandaliwa kushika uongozi wa nchi LAZIMA Muonyeshe uwezo wa mifumo yenu kabla kupewa hiyo nafasi.
Lazima Muonyeshe uwezo na ubora kuliko Ccm sio musuala ya kuoneana aibu kama ccm
Msigwa ni malaya wa kisiasa, Msigwa is a full-blown opportunist.

Ng'ombe waliokatwa mkia

Mimi ndio hapo nawashangaa Chadema. Watu kama Halima, Ruge ambao hawajawahi kukitukana chama chao wanawaona wabaya lakini wako tayari kupokea wale ambao walizunguka wakikifanyia kampeni CCM ( na wengine hata kutoa shutuma nzito dhidi ya Chadema) wanasamehewa haraka na kukumbatiwa.
Msigwa anajulikana alikuwa kambi ya Mwenyekiti wao na alifanya kila juhudi mhujumu Mwenyekiti aliyepita. Sio mtu wa kuamikiwa.

Amandla...
 
Mimi ndio hapo nawashangaa Chadema. Watu kama Halima, Ruge ambao hawajawahi kukitukana chama chao wanawaona wabaya lakini wako tayari kupokea wale ambao walizunguka wakikifanyia kampeni CCM ( na wengine hata kutoa shutuma nzito dhidi ya Chadema) wanasamehewa haraka na kukumbatiwa.
Msigwa anajulikana alikuwa kambi ya Mwenyekiti wao na alifanya kila juhudi mhujumu Mwenyekiti aliyepita. Sio mtu wa kuamikiwq.

Amandla...
Wote hao wanapaswa kupokelea kwenye matawi TU wawe wanachama watiifu chini ya uangalizi MAALUMU

Tusichezee watanzania
 
Hujui siasa wewe unaendeshwa na mihemko. Siasa ni kama timu ya mpira mchezaji anaweza sajiliwa sehemu yeyote ile endapo atahakimishiwa number na maslahi mazuri au mwingine anaweza hama si kwa sababu ya maslahi bali kwenda kutafuta makombe, sasa kama wewe hadi leo unaamini wanasiasa ni maadui upo nyuma sana.
 
Chadema ijifunze KUTOKANA na makosa

Siasa ni inagusa Maisha ya watu

Huyu hakupaswa hata kupandishwa hata jukwaani angerudi kimya kimya kwenye tawi lake
 
ni fundisho la kutopenda sana siasa ,ni mchezo mchafu.. na wana siasa wenyewe ndio hawa.. wao wakikwambia fanya hiki jitafakari kwanza.

akili za kuambiwa.. changanya na zako!
 
Kuna uzi nilitangulia kusema kuwa kuna mawili hapo.
1.kuna mazuri ameona yanakuja kutokea upande wa chadema au
2. Amekuja kuspy chama
 
Hujui siasa wewe unaendeshwa na mihemko. Siasa ni kama timu ya mpira mchezaji anaweza sajiliwa sehemu yeyote ile endapo atahakimishiwa number na maslahi mazuri au mwingine anaweza hama si kwa sababu ya maslahi bali kwenda kutafuta makombe, sasa kama wewe hadi leo unaamini wanasiasa ni maadui upo nyuma sana.
Siasa sio mpira wa miguu unaweza kuhama tu au kununuliwa na team yoyote

Kufananisha siasa na mpira wa miguu ni kutokujua thamani ya siasa kwenye Maisha ya watu

Siasa huwezi kulinganisha na simba na Yanga huu ni upumbavu

Siasa ni seriously business inaingia kwenye Kila sekta ya Maisha ya raia

Siasa ni sera na sera ni fikra na fikra ndizo zinatoa Miongozo wa MAISHA ya jamii

Haiwezekani tuwe na viongozi wanaobadilika Ovyo msimamo yao Kwa sababu ya vyeo
 
Msigwa angeshinda ubunge au kupata cheo kupitia CCM asingehamia Leo chadema.

Tunatamani kuona chadema yenye msimamo inayoheshimika na kuaminika kwa wananchi sio usanii.

Siasa inagusa Maisha ya watu Moja Kwa Moja sio usanii na maigizo ya kipuuzi.

Chadema Ina mamilion ya wanachama wenye uwezo mkubwa Kila MAHALI ambao walikuwa wavumilivu Kwa kipindi chote kigumu Cha chama.

Msitake kuwavunja moyo wanachama wavumilivu na wenye Nia ya dhati ya kuona mabadiliko,
kisa ushikakaji wa viongozi na Msigwa

Msaliti wa chama hapaswi kupewa heshima hata kidogo maana alikuwa anajaribu kutoboa mtumbi chama kizame

Baada ya kupata dhamana ya ubunge Kwa miaka kadhaa anashindwa TU uchaguzi wa ndani anahama chama

Bora angehama chama akae kimya bila kukisema na kukichoma tungemuelewa.

Ugomvi wake na Mbowe haukumpa uhalali wa kukichafua chama na kukisaliti .

Chadema Bado inaandaliwa kushika uongozi wa nchi LAZIMA Muonyeshe uwezo wa mifumo yenu kabla kupewa hiyo nafasi.
Lazima Muonyeshe uwezo na ubora kuliko Ccm sio musuala ya kuoneana aibu kama ccm

Soma pia Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA
Nadhani anayo heshima ya kupewa nafasi maalumu kamati kuu ya chadema taifa. Na huo ni utaratibu wa kawaida tu ndani ya chadema isiyo na agenda 🐒
 
Chadema haiwezi kufanya huo ujinga
Ingawa UNATAMANI iwe hivyo
 
Hujui siasa wewe unaendeshwa na mihemko. Siasa ni kama timu ya mpira mchezaji anaweza sajiliwa sehemu yeyote ile endapo atahakimishiwa number na maslahi mazuri au mwingine anaweza hama si kwa sababu ya maslahi bali kwenda kutafuta makombe, sasa kama wewe hadi leo unaamini wanasiasa ni maadui upo nyuma sana.
Siasa unafananisha na team za Mpira kua serious kidogo
 
Wote hao wanapaswa kupokelea kwenye matawi TU wawe wanachama watiifu chini ya uangalizi MAALUMU

Tusichezee watanzania
Katiba yao inasemaje? Ina matabaka ya uanachama? Ninachojua ni kuwa wanachama wote ni wa kwenye matawi. Na ukiwa mwanachama una ruhusiwa kugombea nafasi yeyote atakayotaka. Msigwa hataweza kuzuiwa kugombea uenyekiti wa Mkoa kama atataka. Na akizuiwa atakuwa na uwezo wa kukiburuza chama mahakamani.

Amandla...
 
Back
Top Bottom