Msigwa: Hata mimi nina faili la Spika akimsema vibaya "Mkuu"

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kaandika hivi kupitia mtandao wa twitter:

Spika jana ametishia kwamba eti ana faili la mambo yangu mengi, hawezi kunifunga mdomo nisifanye kazi yangu ya Kibunge. Kama ni faili hata mimi ninalo lake akimsema vibaya Mkuu na nikifunguka hata huko kujipendekeza kwake hataaminika tena. Niguse ninuke!
 
Baada ya kifo cha Nkurunzinza viongozi wa serikali na Ccm wabadilike wauache umungumutu. Sisi sote ni wadhambi na wa kupita.

Haya mambo ya kubadili sheria na katiba ili wasishtakiwe milele hayamsaidii yeyote .
 
Kaandika hivi kupitia mtandao wa twitter:

Spika jana ametishia kwamba eti ana faili la mambo yangu mengi, hawezi kunifunga mdomo nisifanye kazi yangu ya Kibunge. Kama ni faili hata mimi ninalo lake akimsema vibaya Mkuu na nikifunguka hata huko kujipendekeza kwake hataaminika tena. Niguse ninuke!
Duh...!.
P
 
Ndugai siyo mzima , anayoyatenda bungeni ni aibu kwa nchi , sijawahi kuona spika yeyote aliyepita akifanya siasa za kishamba za ccm ndani ya bunge kama Ndugai , anaonekana kama mtu mshamba na limbukeni mno !
 
Kaandika hivi kupitia mtandao wa twitter:

Spika jana ametishia kwamba eti ana faili la mambo yangu mengi, hawezi kunifunga mdomo nisifanye kazi yangu ya Kibunge. Kama ni faili hata mimi ninalo lake akimsema vibaya Mkuu na nikifunguka hata huko kujipendekeza kwake hataaminika tena. Niguse ninuke!
Naunga mkono hoja.

Mchungaji Msigwa funguka......ila isiwe kama faili la Kinana!
 
"Kafupii" ni mshamba wa uongozi... huwa najiuliza amesoma sheria za wapi hasa maana hufanya maamuzi ya hovyo wakati nikiongozi mkubwa anayestahili kuwa mfano kwa vizazi vijavyo. Standard anayoiset inachafua hadhi ya mhimili husika...kauli za kujikweza na kujionesha jasiri bila kujua ameajiriwa tuu na wananchi kwa bahati kwani yeye sibora zaidi ya wote!!
 
huyu aliyemsihi Asad aende kuhojiwa na kamati na mambo yalishaisha ni muheshimiwa tu alitaka kutumia bunge kumkataa Asad,baadae akamgeuka
 
Back
Top Bottom