Marlex Jr El
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 1,819
- 2,415
Anayo yafanya ndugai kwann wasiachie huo upuuz wake atulie maana ataenda kushindikana soon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwaga mboga, nitamwaga ugali.....Kaandika hivi kupitia mtandao wa twitter:
Spika jana ametishia kwamba eti ana faili la mambo yangu mengi, hawezi kunifunga mdomo nisifanye kazi yangu ya Kibunge. Kama ni faili hata mimi ninalo lake akimsema vibaya Mkuu na nikifunguka hata huko kujipendekeza kwake hataaminika tena. Niguse ninuke!
Ebu spika na aanze tuone itakuaje maana ndugu mchungaji namuelewa.Kaandika hivi kupitia mtandao wa twitter:
Spika jana ametishia kwamba eti ana faili la mambo yangu mengi, hawezi kunifunga mdomo nisifanye kazi yangu ya Kibunge. Kama ni faili hata mimi ninalo lake akimsema vibaya Mkuu na nikifunguka hata huko kujipendekeza kwake hataaminika tena. Niguse ninuke!
Kaandika hivi kupitia mtandao wa twitter:
Spika jana ametishia kwamba eti ana faili la mambo yangu mengi, hawezi kunifunga mdomo nisifanye kazi yangu ya Kibunge. Kama ni faili hata mimi ninalo lake akimsema vibaya Mkuu na nikifunguka hata huko kujipendekeza kwake hataaminika tena. Niguse ninuke!
Halafu yeye mwenyewe wala hastuki !
Inaonyesha kuwa watanzania sio watu makini, ukiwa na kiongozi bogus wala usitafute mchawi coz huyo kiongozi anatoka kwenye jamii ya watu wa aina hiyo!!Mtu kama Ndugai sijui hata alipataje ule uspika
Unawajua wagogo vizuri? wala sishangaiNdugai siyo mzima , anayoyatenda bungeni ni aibu kwa nchi , sijawahi kuona spika yeyote aliyepita akifanya siasa za kishamba za ccm ndani ya bunge kama Ndugai , anaonekana kama mtu mshamba na limbukeni mno !
Kujipendekeza na ushirikina.Mtu kama Ndugai sijui hata alipataje ule uspika
Hahahaha niguse ninuke mpaka October ww na bando lako tuKaandika hivi kupitia mtandao wa twitter:
Spika jana ametishia kwamba eti ana faili la mambo yangu mengi, hawezi kunifunga mdomo nisifanye kazi yangu ya Kibunge. Kama ni faili hata mimi ninalo lake akimsema vibaya Mkuu na nikifunguka hata huko kujipendekeza kwake hataaminika tena. Niguse ninuke!
Hii ngoma draw mkuu wote watakaa kimyaSi aliachie tu Ndugai aumbuke au anaogopa Spika ataliachia la kwake?
Wakisema watu wafunguliane mambo binafsiViongozi wetu wameanza na mambo binafsi, wakiendelea na hayo hawatabaki salama.spika ameanza mchezo huu.huku mtaani tunajua machafu mengi sana ya viongozi.tumekaa kimya