Msigwa iambie Serikali yako na Vikundi vyake (Polisi na Mamuluki wao) tarehe 9 Dec ni Maandamano ya Uhakika, Wasithubutu hata Kuua Sisimizi!.

Msigwa iambie Serikali yako na Vikundi vyake (Polisi na Mamuluki wao) tarehe 9 Dec ni Maandamano ya Uhakika, Wasithubutu hata Kuua Sisimizi!.

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
20251124_145749.jpg

20251124_145749.jpg



Kwa Taarifa yenu, Tuliouliwa Ndugu zetu tumeshajipanga kuandamana.

Mtangaze Curfew ya mapema, haitozuia lolote.

Muanze kupiga Risasi mapema, haitazuia lolote .


Maandamano yapo, No way Bwana Msigwa , rukaruka tu na Porojo zako ila MAANDAMANO MAKUBWA YA AMANI YAKO PALEPALE.



SASA , Onyo....

OLE WENU ,OLE WENU, OLE WENU MUUE WATU , OLE WENU MUUE WATU .


Tutaelekea Wapi ?.

Dar na Dodoma ,Tunaelekea IKULU ( Bwana Msigwa waambie IKULU tutawatembelea Kwa Amani.).


Mikoani , Madiwani na Wabunge, tutakua kuwasalimia huko Kwa Amani.


Katika haya mawili, Asiuwawe Raia hata Mmoja.
 
Hivi mtu umezika nguo harafu hujakaa sawa unasikia watu wanatekwa wanauwawa hujanywa hata maji roho itulie anakuja kiongozi anapiga kelele ohoo walio kufa sio watz zile picha ni AI najiuliza hivi sudan watu walitafuta gun za kujilinda kumbe wana akili
 
View attachment 3506798
View attachment 3506798


Kwa Taarifa yenu, Tuliouliwa Ndugu zetu tumeshajipanga kuandamana.

Mtangaze Curfew ya mapema, haitozuia lolote.

Muanze kupiga Risasi mapema, haitazuia lolote .


Maandamano yapo, No way Bwana Msigwa , rukaruka tu na Porojo zako ila MAANDAMANO MAKUBWA YA AMANI YAKO PALEPALE.



SASA , Onyo....

OLE WENU ,OLE WENU, OLE WENU MUUE WATU , OLE WENU MUUE WATU .


Tutaelekea Wapi ?.

Dar na Dodoma ,Tunaelekea IKULU ( Bwana Msigwa waambie IKULU tutawatembelea Kwa Amani.).


Mikoani , Madiwani na Wabunge, tutakua kuwasalimia huko Kwa Amani.


Katika haya mawili, Asiuwawe Raia hata Mmoja.
Kifupi nitakuwepo mjini daslamu nimeshabook flight from mwanza da nainhi tarehe 7 saa6 usiku
 
Inasemekana Kuna kontena za silaha Tano zimeshuka bandarini na zimepokelewa na serikali.sjui Tz inaelekea wap? Tutakuwa kama congo kinshasa
 
Nendeni kadai mtakacho kuwa mnapenda kupatiwa katika hili natoa baraka zangu.Huwezi kuua watu ambao wengi wao hawakuwa sehemu ya maandamano na bado ukashindwa kuwajibika.Tume ya maridhiano ni upumbavu(uwajibikaji ndio njia nzuri na toba ya kweli).
 
Back
Top Bottom