GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 Jul 25, 2024 #1 Alipokuwa bungeni kwa tiketi ya CHADEMA, Mch. Msigwa alishawahi kukituhumu CCM kwa kusema kuwa akili ndogo (CCM) inaiongoza akili kubwa. Kwa yeye kutimkia CCM, ameamua kuwa akili ndogo ili awaongoze akili kubwa au anataka kuifanya CCM akili kubwa? Pia soma:CHADEMA na CCM wameamua kumpuuza Msigwa?
Alipokuwa bungeni kwa tiketi ya CHADEMA, Mch. Msigwa alishawahi kukituhumu CCM kwa kusema kuwa akili ndogo (CCM) inaiongoza akili kubwa. Kwa yeye kutimkia CCM, ameamua kuwa akili ndogo ili awaongoze akili kubwa au anataka kuifanya CCM akili kubwa? Pia soma:CHADEMA na CCM wameamua kumpuuza Msigwa?