Pre GE2025 Msigwa: Mbowe aliacha tuliyomtuma Ikulu akaenda kushughulikia Billicanas. CHADEMA hakuna Sera ni kudandia mambo ya CCM tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni

Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi

Source: Mwanahalisi Digital

My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
 
Kama ulikotoka hakukuwa na jema hata moja bora kunyamaza kuliko kupaongelea.
Imagine 20yrs ulikuwa huko, leo unapewa mic 🎤 unabwabwaja hivi?

Hata katika kuyatafuta maisha zipo baadhi ya sehemu au shughuli hatusemi ni wapi tumepita au ni kipi tumefanya hadi kuwa tulipo leo. Hata mke au mume mkiachana sio kila muda nikumuomuongelea mlieachana nae.

Kushukuru ulikoroka pia inatosha kuliko mapungufu unayoyaeleza ambayo hata huko alikoenda hayawasaidii
Niwe mkweli bila CHADEMA huyu nisingemfaham, ajaribu kuwa na kiasi cha maneno ni bora aseme namna atasaidia huko alikohamia kuliko kuponda alikotoka!
 
Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni

Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi

View attachment 3044222

Source: Mwanahalisi Digital

My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
Vyama vyote vya siasa ni hovyo tu.
 
Ni afadhali Msigwa angejikita kumsifia Mama na kazi anazozifanya kuliko kuiponda Chadema. Chama tawala kinapaswa kueleza mafanikio yake, changamoto walizotatua. Chama tawala hakipaswi kurusha lawama, na kulalamika. Lakini kwa mwendo huu anaokwenda nao Msigwa unaweza kudhani Chadema ni chama tawala, na Ccm ni chama cha upinzani.
 
Ndio Ukweli

Chadema imepoteza watu mahiri wamebaki na watu wajinga wajinga

Mtu mwenye akili Chadema laazima aonekane ni msaliti na mamluki

Ila wale wajinga wanaoshinda mitandaoni huku kula kwao kwa shida ndio uonekanana makamanda

Chadema imekua ikipoteza watu muhimu sana kwa uzembe wa Kijinga wa kumwabudu mtu mmoja
 
Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni

Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi

View attachment 3044222

Source: Mwanahalisi Digital

My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
Kuna mtu anayeamini dini tena? Au Mchungaji? God pishilia mbali. Kuna tofauti gani na kinyesi? Shit
 
Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni

Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi

View attachment 3044222

Source: Mwanahalisi Digital

My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
Umekuwa mtaji wa chama changu cha ccm ila bora mwanao mpendwa yule binti amekuja pia chama cha maana. Mama yetu hongera. Samia Allah akupe kila lililo jema tumepata kifaa cha uchaguzi go mama go 2025
 
Ccm wanakuchora tuu sasa kama umeweza kukojoa ulipokuwa unalala unadhani ugenini utaacha ; ccm kuweni makini sana na huyu mtu so mzuri kabisa
Tutamtumia kwenye uchaguz tutampa kawilaya apige kazi mambo yaendelee mama yake kazi sio majungu
 
Naikumbuka kauli ya msigwa iliyonifurahisha akiwa bungeni.
Nadhani wanasiasa sio watu wa kawaida.
Aliishambulia vikali ccm na kusema,
"CCM Iko kama tikiti maji,nje ya kijani lakini ndani nyekundu"
Akimaanisha kwamba CCM inachokisema sio inachokitenda.
Yaani ni chama kigeugeu.
Sasa sijui kati ya CCM na yeye nani ni tikiti maji.
 
A
Kama ulikotoka hakukuwa na jema hata moja bora kunyamaza kuliko kupaongelea.
Imagine 20yrs ulikuwa huko, leo unapewa mic 🎤 unabwabwaja hivi?

Hata katika kuyatafuta maisha zipo baadhi ya sehemu au shughuli hatusemi ni wapi tumepita au ni kipi tumefanya hadi kuwa tulipo leo.
Hata mke au mume mkiachana sio kila muda nikumuomuongelea mlieachana nae.

Kushukuru ulikoroka pia inatosha kuliko mapungufu unayoyaeleza ambayo hata huko alikoenda hayawasaidii
Niwe mkweli bila CHADEMA huyu nisingemfaham, ajaribu kuwa na kiasi cha maneno ni bora aseme namna atasaidia huko alikohamia kuliko kuponda alikotoka!
Najipalilia Laana na itamvaa yeye mpaka kizazi chake cha nne, Mbowe ni mtu na kama binadamu yoyote anamahitaji yake na mapungufu yake kwani siyo Malaika huwezi kutumia mapungufu na maitaji ya Mbowe kumbagaza ili upate cheo CCM, huo ni ujinga na watu wenye akili watakuona huna akili. Huwezi ukakaa CDM miaka 20 ukakosa mapungufu ya watu.
 
Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni

Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi

View attachment 3044222

Source: Mwanahalisi Digital

My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
Njaa mbaya sana.
 
Back
Top Bottom