Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atamaliza wake na mabinti za watu namjua hata house girl wake alindinyaTutamtumia kwenye uchaguz tutampa kawilaya apige kazi mambo yaendelee mama yake kazi sio majungu
Msigwa ni mla kondoo, hana ishuNaikumbuka kauli ya msigwa iliyonifurahisha akiwa bungeni.
Nadhani wanasiasa sio watu wa kawaida.
Aliishambulia vikali ccm na kusema,
"CCM Iko kama tikiti maji,nje ya kijani lakini ndani nyekundu"
Akimaanisha kwamba CCM inachokisema sio inachokitenda.
Yaani ni chama kigeugeu.
Sasa sijui kati ya CCM na yeye nani ni tikiti maji.
Mijinga kama hii ndo huchelewesha maendeleo ya nchi,!!! Hopeless. Hafai hata kuitwa hata kondoo,eti mchungaji! Hopeless .Kama ulikotoka hakukuwa na jema hata moja bora kunyamaza kuliko kupaongelea.
Imagine 20yrs ulikuwa huko, leo unapewa mic 🎤 unabwabwaja hivi?
Hata katika kuyatafuta maisha zipo baadhi ya sehemu au shughuli hatusemi ni wapi tumepita au ni kipi tumefanya hadi kuwa tulipo leo. Hata mke au mume mkiachana sio kila muda nikumuomuongelea mlieachana nae.
Kushukuru ulikoroka pia inatosha kuliko mapungufu unayoyaeleza ambayo hata huko alikoenda hayawasaidii
Niwe mkweli bila CHADEMA huyu nisingemfaham, ajaribu kuwa na kiasi cha maneno ni bora aseme namna atasaidia huko alikohamia kuliko kuponda alikotoka!
Nikisema CCM na Chadema lao moja Watu wanatoa povu. Wote lengo ni kuendelea kuitawala Tanzania. BAADA ya muda Chadema itadhoofishwa na kuibua chama kingine Kama cuf ilivyokufa kibudu ZanzibarMchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni
Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi
Source: Mwanahalisi Digital
My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
Tena ni upunguaniKwa mawazo yangu Msigwa anakosea . Mimi naweza nikasema mafanikio makubwa aliyoyapata wakati akiwa mbunge na kiongozi yote yaliletwa na CHADEMA. Kwa hiyo leo Msigwa akiachana na Mke wake ataenda kusema mapungufu yake hadharani? Mwanaume lazima tuwe na kifua yeye kama ameenda chama kingine ajitahidi kujikita kwenye hizo 4R mambo mengine anayosema hayana maana ni upumbavu mtupu.
Kwisha habari yake,Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni
Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi
Source: Mwanahalisi Digital
My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
Kasema lolote kuhusu Waano kusanya kodi za nchi hii na wanavyo zitumia?Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni
Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi
Source: Mwanahalisi Digital
My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼