johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Vyama vyote vya siasa ni hovyo tu.Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni
Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi
View attachment 3044222
Source: Mwanahalisi Digital
My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
Huyo ni Msigwa wa siasa , siyo Chama cha siasa.Vyama vyote vya siasa ni hovyo tu.
Kila mtu aliye upinzani ana muda wake wa kuja CCM.Vyama vyote vya siasa ni hovyo tu.
Kuna mtu anayeamini dini tena? Au Mchungaji? God pishilia mbali. Kuna tofauti gani na kinyesi? ShitMchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni
Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi
View attachment 3044222
Source: Mwanahalisi Digital
My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
Umekuwa mtaji wa chama changu cha ccm ila bora mwanao mpendwa yule binti amekuja pia chama cha maana. Mama yetu hongera. Samia Allah akupe kila lililo jema tumepata kifaa cha uchaguzi go mama go 2025Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni
Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi
View attachment 3044222
Source: Mwanahalisi Digital
My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
Tutamtumia kwenye uchaguz tutampa kawilaya apige kazi mambo yaendelee mama yake kazi sio majunguCcm wanakuchora tuu sasa kama umeweza kukojoa ulipokuwa unalala unadhani ugenini utaacha ; ccm kuweni makini sana na huyu mtu so mzuri kabisa
Si wote watakuja hukoKila mtu aliye upinzani ana muda wake wa kuja CCM.
Najipalilia Laana na itamvaa yeye mpaka kizazi chake cha nne, Mbowe ni mtu na kama binadamu yoyote anamahitaji yake na mapungufu yake kwani siyo Malaika huwezi kutumia mapungufu na maitaji ya Mbowe kumbagaza ili upate cheo CCM, huo ni ujinga na watu wenye akili watakuona huna akili. Huwezi ukakaa CDM miaka 20 ukakosa mapungufu ya watu.Kama ulikotoka hakukuwa na jema hata moja bora kunyamaza kuliko kupaongelea.
Imagine 20yrs ulikuwa huko, leo unapewa mic 🎤 unabwabwaja hivi?
Hata katika kuyatafuta maisha zipo baadhi ya sehemu au shughuli hatusemi ni wapi tumepita au ni kipi tumefanya hadi kuwa tulipo leo.
Hata mke au mume mkiachana sio kila muda nikumuomuongelea mlieachana nae.
Kushukuru ulikoroka pia inatosha kuliko mapungufu unayoyaeleza ambayo hata huko alikoenda hayawasaidii
Niwe mkweli bila CHADEMA huyu nisingemfaham, ajaribu kuwa na kiasi cha maneno ni bora aseme namna atasaidia huko alikohamia kuliko kuponda alikotoka!
Njaa mbaya sana.Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni