Pre GE2025 Msigwa: Mbowe aliacha tuliyomtuma Ikulu akaenda kushughulikia Billicanas. CHADEMA hakuna Sera ni kudandia mambo ya CCM tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwenye kudandandia mambo hapo nakuunga mkono asilimia zaidi ya 90. Ila uilipaswa kuongea hayo mambo ukiwa huko huko chadema ingesaidia kuwabadilisha leo watasema unaongea hivyo sababu unahama, nakumbuka Mzee Lowasa akiwa chadema aliwahi washauri waache siasa za kiunaharakati lakini mpaka leo hawajaacha na ndio maana mzee alirudi ccm.
 
Msigwa eneza sera za SISIEMU achana na siasa za maji taka za kumdiscuss MTU.

"Si tunatumiana meseji ,aongee tu kama hatutakata network ,wabeja sana?" - Dr Msukuma
 
Mimi naona Msigwa ni kheri angeelekeza nguvu kukijenga chama alichohamia.....hizi harakati anazofanya zinaondoa hata hiyo heshima kidogo aliyobakia nayo.....
 
Kiukweli nmemuelewa sana msigwa. Kwanza ni mtu smart sana kichwani,
Anaongea point tupu,
Mdomo wake unatoa hoja ukizifatilia ni hoja za msingi.
Naomba mnifahamishe sera kuu ya chadema kwa sasa ni ipi?
 
Msigwa ni mla kondoo, hana ishu
 
Mijinga kama hii ndo huchelewesha maendeleo ya nchi,!!! Hopeless. Hafai hata kuitwa hata kondoo,eti mchungaji! Hopeless .
 
Laana ya kusherehekea kifo cha Magu inaendelea kuwatafuna..ogopa sana mtu anayeliliwa na wengi..bora wangekaaga kimya.
 
Nikisema CCM na Chadema lao moja Watu wanatoa povu. Wote lengo ni kuendelea kuitawala Tanzania. BAADA ya muda Chadema itadhoofishwa na kuibua chama kingine Kama cuf ilivyokufa kibudu Zanzibar
 
Kwa mawazo yangu Msigwa anakosea . Mimi naweza nikasema mafanikio makubwa aliyoyapata wakati akiwa mbunge na kiongozi yote yaliletwa na CHADEMA. Kwa hiyo leo Msigwa akiachana na Mke wake ataenda kusema mapungufu yake hadharani? Mwanaume lazima tuwe na kifua yeye kama ameenda chama kingine ajitahidi kujikita kwenye hizo 4R mambo mengine anayosema hayana maana ni upumbavu mtupu.​
 
Wanasema wachungaji Wana maono, iweje huyu mchungaji Hana maono!!? Ama kweli njaaa mwanamalegeza!! Chama alichokwenda kinauza Sera yeye anauza umbea wa kwenye kanga!! Poor him!! Sasa sijui future yake humo
 
Tena ni upunguani
 
Kwisha habari yake,
 
Kasema lolote kuhusu Waano kusanya kodi za nchi hii na wanavyo zitumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…