Msigwa : Mlipochangishana pesa kwa ajili ya kampeni ya uchaguzi waliowachangia walikuwa wajinga?

Msigwa : Mlipochangishana pesa kwa ajili ya kampeni ya uchaguzi waliowachangia walikuwa wajinga?

PERAMIHO YETU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
6,288
Reaction score
17,333
Hii nchi mtu akipata teuz bas anaona wale walio nje ya mfumo n mafala TU hawana kitu

Amesahau kampen za 2025 chama chake kilichangisha pesa kwa ajil ya uchaguz na WATU wakachanga lakn hakutoka kuwabeza wachangiaji

Leo chadema wanachangishana anatoka na kuwaona wanaochanga mafala wajinga na kuwananga viongozi wetu

Hao viongoz unaowananga ndio tuliwachagua sisi na hatujaona shida wala dosari YOYOTE kwao

Kwann uingilie chama chetu badala yakukihoji chama chako kwann WATU wanaokosoa.chama chenu mnawafungulia mashtaka kwanini WATU wanapotea na hakuna maelezo yakina

NYANI HAONI KUNDULE LAKE
 
Mchungaji amesahau kama political career yake yote imejengwa na nguvu ya hao hao anaowaita wajinga leo? Kweli teuzi huwa zinafuta kumbukumbu.
 
Back
Top Bottom