THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Huyu Jamaa hua nashindwa kuelewa maana naona kama ana kua msemaji wa CCM..
Hivi hadi Michango ya Tone Tone ya CHADEMA anaiongelea yeye kama nani?
Au mimi sijui vizur kazi yake ina extend hadi wapi?
Mnisaidie watu wa political sayansi.
Mi najua msemaji wa serikali anajibu au anatoa taarfa tu kuhusu issue za serikali.