THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Nchi imenajisika hii mpaka CDF, IGP na boss TISS wanafanya kazi za ccm.Huyu Jamaa hua nashindwa kuelewa maana naona kama ana kua msemaji wa CCM..
Hivi hadi Michango ya Tone Tone ya CDM anaingolea yeye kama nani?
Au mimi sijui vizur kazi yake ina extend hadi wapi?
Mnisaidie watu wa political sayansi.
Mi najua msemaji wa serikali anajibu au anatoa taarfa tu kuhusu issue za serikali.
Nchi imekua 🚮Nchi imenajisika hii mpaka CDF, IGP na boss TISS wanafanya kazi za ccm.
Uhuru upo kwao tu.Upande wao uhuru wa habari ukizidi hawana la maana kuongea
Hawana jipya wanamchi wamechoka kudanganywa
Huyi ka JAKU tu na Mimi namuonaUkiwa chawa huwezi kuwa na akili ya kujua mipaka ya mamlaka yako. Huyo Msgwa amekuwa chawa.
Mheshimiwa Msigwa siyo Chawa na hajawahi kuwa ChawaUkiwa chawa huwezi kuwa na akili ya kujua mipaka ya mamlaka yako. Huyo Msgwa amekuwa chawa.
Ni CCM pekee iwezayo kuiongoza Nchi hii na ndio maana kila mtu ana Imani kubwa na CCMNchi imenajisika hii mpaka CDF, IGP na boss TISS wanafanya kazi za ccm.
Wewe ndiye unawewesekaAnaweweseka,hata Mimi simuelewi Labda Mzee P Mayala!
Ukiweza kutofautisha CCM na mihimili ya dola nitakununulia Heineken mbili baridi.Huyu Jamaa hua nashindwa kuelewa maana naona kama ana kua msemaji wa CCM..
Hivi hadi Michango ya Tone Tone ya CHADEMA anaiongelea yeye kama nani?
Au mimi sijui vizur kazi yake ina extend hadi wapi?
Mnisaidie watu wa political sayansi.
Mi najua msemaji wa serikali anajibu au anatoa taarfa tu kuhusu issue za serikali.