Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
malaya wa kisiasa bana 🤣Ila wanasiasa wanatabia zinazofanana, kwa msemo rahisi ule Mwl Nyerere Mwanasiasa malaya malaya tu!
==========
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa, amefunguka sababu zilizomfanya kukimbia Chama Cha Mapinduzi (CCM) miezi michache iliyopita, akidai kuwa mifumo ya chama hicho ilimlazimu kusema uongo mara kwa mara jambo lililokuwa likisuta dhamira yake ya uchungaji.
Mchungaji Msigwa ametoa kauli hiyo jana Jumapili, Julai 5, 2026, wilayani Tarime mkoani Mara, wakati akihutubia maelfu ya waombolezaji katika mazishi ya aliyekuwa dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara (John Heche), marehemu Suez Dan Maradufu.
Soma Pia: Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA
"Nilipokuwa natumia mikutano ilikuwa CCM, nilikuwa napata taabu kwa sababu inatakiwa useme uongo, na mimi ni mchungaji. Sasa nikiangalia Yesu anasema hivi na dunia inasema hivi, dhamira yangu ikanisuta. Kufanya kazi ndani ya CHADEMA katika mazingira haya ni kazi ngumu sana, lakini ni kazi ya haki," amesema Mchungaji Msigwa.
Kama wale mliowanunua kipindi Cha JPM na Sasa waziri wenu wa mambo ya ndani ana title hiyohiyo.malaya wa kisiasa bana 🤣
Gentleman,Kama wale mliowanunua kipindi Cha JPM na Sasa waziri wenu wa mambo ya ndani ana title hiyohiyo.
Mimi whatever what happened to Msigwa, he is a good politician, ana dhamira ya kweli kwenye liberation struggle...sema sometimes prevailing environment at certain times inaweza kumutoa kwenye reli.Ila wanasiasa wanatabia zinazofanana, kwa msemo rahisi ule Mwl Nyerere Mwanasiasa malaya malaya tu!
==========
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa, amefunguka sababu zilizomfanya kukimbia Chama Cha Mapinduzi (CCM) miezi michache iliyopita, akidai kuwa mifumo ya chama hicho ilimlazimu kusema uongo mara kwa mara jambo lililokuwa likisuta dhamira yake ya uchungaji.
Mchungaji Msigwa ametoa kauli hiyo jana Jumapili, Julai 5, 2026, wilayani Tarime mkoani Mara, wakati akihutubia maelfu ya waombolezaji katika mazishi ya aliyekuwa dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara (John Heche), marehemu Suez Dan Maradufu.
Soma Pia: Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA
"Nilipokuwa natumia mikutano ilikuwa CCM, nilikuwa napata taabu kwa sababu inatakiwa useme uongo, na mimi ni mchungaji. Sasa nikiangalia Yesu anasema hivi na dunia inasema hivi, dhamira yangu ikanisuta. Kufanya kazi ndani ya CHADEMA katika mazingira haya ni kazi ngumu sana, lakini ni kazi ya haki," amesema Mchungaji Msigwa.
Ikiwa hivyo ndivyo kwanini umemuita Malaya wa kisiasa?Gentleman,
Tanzania kila mwananchi ana haki na uhuru wa kujiunga na chama cha siasa apendacho , kwa wakati wowote anao ona unafaa, bila kujali makasiriko, mihemko au upotoshaji unaofanywa dhidi ya hatua hiyo na wale wenye wivu na kuumizwa mioyo yao na uhuru wa wengine 🤣
ni malaya wa kisiasa anaetangatanga na anaemfurahisha kila mtu anaemtumia kisasa, haboi wala hana athari wala nini kisiasa 🤣Ikiwa hivyo ndivyo kwanini umemuita Malaya wa kisiasa?
Asante waziri wenu wa mambo ya faragha za ndani bwana kitambi kumbe ni màlaya pia.ni malaya wa kisiasa anaetangatanga na anaemfurahisha kila mtu anaemtumia kisasa, haboi wala hana athari wala nini kisiasa 🤣
hayo ni maoni yako gentleman,Asante waziri wenu wa mambo ya faragha za ndani bwana kitambi kumbe ni màlaya pia.