Msigwa: Ningetamani niwe mtu wa kawaida tu, kuna wakati haya majukumu unaona Soo much Artificial

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Gerson Msigwa ameonyesha hisia zake kuwa kama angepewa nafasi ya kuanza maisha upya, angependa kuwa mtu wa kawaida bila cheo chochote cha uongozi.

Huenda presha na moto wa mitandaoni anaopelekewa vinamfanya ayaone maisha ya uongozi kuwa magumu zaidi kuliko wengi wanavyofikiria. Maana kuna nyakati anaweza hata yeye kuongea jambo fulani akaenda kuchekea chumbani au kulia mwenywe.

“Kwa kweli ningetamani niwe mtu wa kawaida. Kuna wakati haya majukumu yanakufanya ufikirie sana, unaona kabisa maisha yanakuwa too much artificial,” amesema Msigwa.

Mpuuzi, ajiuzulu sasa !

Zenge limelewa madaraka linaita watu nguchiro ! B mkapa pale ndo ametajirikia kwa ujanja ujanja Leo anaongea mashudu
 
Hili ni sahihi kabisaaa maisha ya uongozi ni magumu sanaaaa

Nina ushahidi na hili
 
Gerson Msigwa ameonyesha hisia zake kuwa kama angepewa nafasi ya kuanza maisha upya, angependa kuwa mtu wa kawaida bila cheo chochote cha uongozi.

Huenda presha na moto wa mitandaoni anaopelekewa vinamfanya ayaone maisha ya uongozi kuwa magumu zaidi kuliko wengi wanavyofikiria. Maana kuna nyakati anaweza hata yeye kuongea jambo fulani akaenda kuchekea chumbani au kulia mwenywe.

“Kwa kweli ningetamani niwe mtu wa kawaida. Kuna wakati haya majukumu yanakufanya ufikirie sana, unaona kabisa maisha yanakuwa too much artificial,” amesema Msigwa.

Too late!
 
Yupo sahihi

Kuna KAZI ukizifanya unakuwa unateseka sana
Lawama, matusi, kashfa, majaribio ya kuuawa n.k.

KAZI unashindwa hata kwenda Mgahawani Kula wali wa buku jero

Umaarufu ni kazi
 
Back
Top Bottom