Msigwa: Ramadhan Brothers tunawasubiri tuwape Maua yenu

Msigwa: Ramadhan Brothers tunawasubiri tuwape Maua yenu

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa, amewapongeza vijana wanaounda kundi la Ramadhan Brothers baada ya kujinyakulia ushindi kwenye mashindano ya AGT 'America’s Got Talent Fantasy League'.

Msigwa ametoa pongezi hizo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii na ameahidi kuwa wakitua nyumbani Tanzania kuna zawadi watapatiwa.

Screenshot_20240220-110329.jpg


The Ramadhan Brothers wameibuka Washindi wa mashindano hayo usiku wa kuamkia leo Nchini Marekani na kujinyakulia Tsh milioni 637.5 pamoja na tuzo ya kwanza ya msimu huu wa mashindano hayo.

Hongereni sana Ramadhan Brothers.

✍️ Mjanja M1
 
Serikali iliwapa sapoti tokea mwanzo au ndio wanasubiri wakishinda na kupata umaarufu waanze kujipendekeza!
 
WATAKAO TUMIKA KWENYE KAMPENI WASHA PATIKANA.KUNA UHABA WA USD WASHANUSA HARUFU WAKINA MWIGURU KUWENI MAKINI MADOGO
 
Back
Top Bottom