Msigwa: Serikali: Hatuna Mamlaka ya Kuingilia Masuala ya Michezo, tunasubiri TFF kupanga tarehe mpya ya Simba vs Yanga

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Ni kwamba Serikali haina mamlaka ya kuingilia mambo yoyote yanayohusiana na michezo, tunasubiri TFF ipange tarehe mpya ya mchezo wa Simba na Yanga, jambo hilo la marudiano wa mchezo huo kuchezeka bado uko mikononi mwa TFF na Bodi ya Ligi ikitokea jambo limewashinda watalileta kwetu hayo mengine ya nani na nani alikuwa sahihi kawaulizeni na Bodi ya Ligi "

Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Serikali imeona iruke kiunzii mapema tuu..🤣🤣🤣
 
Ni kwamba Serikali haina mamlaka ya kuingilia mambo yoyote yanayohusiana na michezo, tunasubiri TFF ipange tarehe mpya ya mchezo wa Simba na Yanga, jambo hilo la marudiano wa mchezo huo kuchezeka bado uko mikononi mwa TFF na Bodi ya Ligi ikitokea jambo limewashinda watalileta kwetu hayo mengine ya nani na nani alikuwa sahihi kawaulizeni na Bodi ya Ligi "

Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Basi iwapo inaona vema imuwajibishe meneja wa uwanja kwa kuruhusu yanga wachimbie nyoka,mayai visa na wanyama wengine uwanjani hadi CAF wakaufungia.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ni kwamba Serikali haina mamlaka ya kuingilia mambo yoyote yanayohusiana na michezo, tunasubiri TFF ipange tarehe mpya ya mchezo wa Simba na Yanga, jambo hilo la marudiano wa mchezo huo kuchezeka bado uko mikononi mwa TFF na Bodi ya Ligi ikitokea jambo limewashinda watalileta kwetu hayo mengine ya nani na nani alikuwa sahihi kawaulizeni na Bodi ya Ligi "

Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Ila kubadili wachezaji uraia mnaweza
 
Kusema mnasubiri tarehe mpya ya mchezo tayari mmeingilia. Je maamuzi yakiwa yanga kupata points tatu na goli tatu, kama wanavyostahili!!?
 
Back
Top Bottom