Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Basi iwapo inaona vema imuwajibishe meneja wa uwanja kwa kuruhusu yanga wachimbie nyoka,mayai visa na wanyama wengine uwanjani hadi CAF wakaufungia.Ni kwamba Serikali haina mamlaka ya kuingilia mambo yoyote yanayohusiana na michezo, tunasubiri TFF ipange tarehe mpya ya mchezo wa Simba na Yanga, jambo hilo la marudiano wa mchezo huo kuchezeka bado uko mikononi mwa TFF na Bodi ya Ligi ikitokea jambo limewashinda watalileta kwetu hayo mengine ya nani na nani alikuwa sahihi kawaulizeni na Bodi ya Ligi "
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
Ila kubadili wachezaji uraia mnawezaNi kwamba Serikali haina mamlaka ya kuingilia mambo yoyote yanayohusiana na michezo, tunasubiri TFF ipange tarehe mpya ya mchezo wa Simba na Yanga, jambo hilo la marudiano wa mchezo huo kuchezeka bado uko mikononi mwa TFF na Bodi ya Ligi ikitokea jambo limewashinda watalileta kwetu hayo mengine ya nani na nani alikuwa sahihi kawaulizeni na Bodi ya Ligi "
Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba