Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata



Msigwa anaeleza jinsi ofisi ya Speaker ilivyotumika kuwashawishi Wabunge wa Upinzani hujiunga na CCM.

Kuna kipindi nilianza kuwa na mashaka baada ya kumuona Msigwa na Mzee pinda wakiwa na maongezi ya kama masaa mawili au matatu, nikahisi Mchungaji ameamua kujiunga na madhalimu nikahisi siku sio nyingi basi naye ataunga mkono juhudi za shetani pombe.
Hongera Mchungaji umemshinda pepo mbaya, utawala wa pombe ulikuwa wa kifedhuli haujawahi kutokea duniani, bora mkoloni mzungu kuliko ccm
 
Kwakweli hatufanyi sherehe kwa kifo cha mwendazake lakini Mungu katuepusha balaa kubwa sana.

Tutakuwa taifa la wapumbavu tukiruhusu watu aina ya mwendazake kushika madaraka tena
Tanzania Ilioza Kweli Kweli
Mengine Yanatia Kinyaa Kama Haya
 
Uzinzi na umalaya ni kipaji kama ilivo kucheza mpira au basket ball na inaonekana mapema kama vipaji vingine tu toka udogoni ndio maana mkiambiwa mchague wa kuzaa naye mnakuwa na jazba na hasira,serikali hawezi kuingilia vipaji vya watu its in human nature.

WHERE THERE IS A WHEEL, THERE IS A WAY!!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe Ofisi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatumika kurubuni na kuwatisha Wabunge wetu ili wahamie CCM?
Hilo linajulikana ndio ilikua kazi ya Polepole na Ndugai, waliokataa kununuliwa kama kuku sokoni, walikabiziwa kwa Bashite na Sabaya.
Mwendawazimu ni wa JEHANAMU milele na kizazi chake chote.
 
Zilipendwa huyo.

Kama aliambiwa hivyo na yakatimia sasa anataka nini tena?

Atwambie kama alikuwa nanhongwa au la?

Alitumia haki yake kugoma na cha moto alukiina ndo maana sasa sio mbunge
Kwani huo ubunge kazaliwa nao.si ni kazi tu ambayo leo ipo na kesho haipo.Heshima na utu wa mtu ni jambo jema na la thamani kuliko vyeo na madaraka yakupita.Ata hivyo hujui Neema ya Mungu kwa msigwa kwa hiyo kaa utulie.
 
Wanaodhani Magufuli alikuwa amepanga kuachia madaraka 2025 wafikirie mara mbilimbili
Mipango yake yote ya kuharibu taasisi za checks and balance inaonyesha kuwa huyo mtu kama angekuwa hai asingetoka madarakani
Najua kuna wanakataa lakini kiukweli yuke mzeee alikuwa anaongeza miaka saba sema Mungu atabaki kuwa Mungu
 
Back
Top Bottom