Msigwa: Tanzania ina haki kuwa na nchi rafiki yoyote duniani. Kwa Urusi sasa, ni wrong timing

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
Pamoja na kuwa Tanzania ina haki ya kuwa na mahusiano ya kirafiki na nchi yoyote duniani kwa kadri inavyowezekana, kwa maoni yangu safari ya kuelekea Moscow imefanyika katika wakati ambao si muafaka kisiasa na kidiplomasia...

Katika kipindi ambacho Marekani na Umoja wa Ulaya tayari wameonyesha kutoridhishwa na mwenendo wa kisiasa nchini Tanzania, hususan baada ya matukio ya Oktoba 2025, malalamiko ya ukiukwaji wa haki za binadamu, na kuendelea kushikiliwa kwa viongozi wa upinzani, jambo la mwisho ambalo Tanzania ilihitaji ni kutuma ujumbe unaoweza kutafsiriwa kama kuhamisha mwelekeo wake wa kimkakati kutoka kwa washirika wake wakuu wa maendeleo kwenda Moscow.

Kumbuka, tatizo si kwenda Moscow.

Tatizo ni kwenda Moscow wakati Washington na Brussels wanaanza kuhoji mwelekeo wa kisiasa wa Tanzania.

Diplomasia sio suala la hisia;
ni suala la muda, mazingira na maslahi ya taifa.

Ukweli ambao haukwepeki na hatupaswi kuuficha ni kwamba kwa sasa Russia haiwezi kuchukua nafasi ya Marekani na Umoja wa Ulaya katika maendeleo ya Tanzania.

Takwimu zinaonyesha wazi:

👉Marekani imechangia zaidi ya dola bilioni 3 katika kipindi cha 2020–2025.

👉Umoja wa Ulaya umechangia takribani dola bilioni 3.2.

👉Russia imechangia karibu sifuri katika Official Development Assistance (ODA).

Haya si maoni. Hizi ni takwimu.

Wakati mwingine katika siasa tunajidanganya kwamba washirika wanaweza kubadilishwa kwa urahisi. Historia inaonyesha sivyo.

Marekani na Umoja wa Ulaya hawatoi fedha pekee.

Wamekuwa nguzo muhimu katika:

mapambano dhidi ya UKIMWI na malaria,
chanjo na mifumo ya afya, elimu, maji safi, kilimo, uwekezaji wa sekta binafsi, teknolojia, mafunzo ya wataalamu, na upatikanaji wa masoko ya kimataifa.

Pengo litakalotokana na kupungua kwa ushirikiano huo haliwezi kuzibwa kwa picha za viongozi kukutana au mikataba michache ya kisiasa.

Mataifa hayajengwi kwa alama za kidiplomasia; yanajengwa kwa maslahi halisi ya wananchi.

Swali ambalo viongozi wanapaswa kujiuliza si kama tunaweza kuwa marafiki wa Russia, bali Swali kuu ni:

Je, Russia inaweza kuchukua mzigo wa afya, elimu, uwekezaji, biashara na maendeleo ambao Marekani na Umoja wa Ulaya wameubeba kwa miongo kadhaa?

Mpaka sasa, jibu la ukweli ni hapana.

Hatari kubwa zaidi si kupoteza misaada.

Hatari kubwa ni kupoteza imani.

Mataifa yanaweza kuishi bila misaada kwa muda fulani.

Lakini ni vigumu kuishi bila imani ya wawekezaji, masoko ya kimataifa, taasisi za kifedha na washirika wa maendeleo.

Fedha za dunia zina tabia moja:

Hukimbilia kwenye utulivu, uwazi wa kisiasa na taasisi zinazoaminika.

Ndiyo maana nchi yenye busara haiharibu madaraja kabla haijajenga mengine.

Na hata kama imeamua kujenga daraja jipya kuelekea Moscow, ni hatari kubomoa madaraja yaliyoiunganisha na Washington na Brussels kwa zaidi ya nusu karne.

Kwa sababu katika siasa za kimataifa, si kila rafiki mpya ana uwezo wa kuchukua nafasi ya rafiki wa zamani.

Na katika wakati ambao Tanzania inahitaji uwekezaji zaidi, ajira zaidi, teknolojia zaidi na masoko zaidi, taifa linapaswa kuwa makini sana lisije likachanganya uhuru wa kidiplomasia na kujitenga kidiplomasia.

Uzalendo wa kweli si kupiga picha na mataifa makubwa; uzalendo wa kweli ni kuhakikisha maamuzi ya leo hayaleti gharama ambazo wananchi wa kawaida watazilipa kesho...!!
 
Mentality za kimaskini ni za kindezi sana aise 🤣
 
Sio lazima kila andiko linalokinzana na serikali unayoitetea lazima ulipinge ! ili kuondoa usamia uliokuathiri kichwani mwako nakushauri nenda chumbani kwa mama yako mzazi ukamgonge kimoja uondoe stress..
kwani kuna nilichopinga au kuunga mkono hapo gentleman?🤣

huna haja ya kujiexpose jukwaani namna ulivyo na mentality nonsense 🐒
 
Hakuna nchi Duniani iliyowahi kupata maendelro kwa msaada wa Urusi au China. Ukiitegemea China au Urusi, lazima ufeli.

Angalia maendeleo ya mataifa yaloyosaidiwa na mataifa ya Magharibi:
South Korea
Ujerumani
Saudi Arabia
Kuwait
Qatar
Hong Kong
Singapore

Linganisha na washirika wa China au Russia:
North Korea
Afganstan
Syria
Cuba
Venezuela
Iran
 
ni sahihi kabisa! Vichwa vya watu viko empty set.
 
Sio lazima kila andiko linalokinzana na serikali unayoitetea lazima ulipinge ! ili kuondoa usamia uliokuathiri kichwani mwako nakushauri nenda chumbani kwa mama yako mzazi ukamgonge kimoja uondoe stress..
hilo taka lipige ignore! mm nishaligonga IGNORE siku nyingi
 
Huyo kaenda kutafuta ulinzi.
Asichojua ndio anazidi kumtia hasira mmarekani tutapigwa vikwazo tusipate pa kutokea..!!
 
ulinzi basi unafikiri tajiri ? hiyo anajaribu kuwasuta watu. Sasa hawa vita yao sio ulinzi wa kisasa, vita yao kubwa ni kurogana wana ma vitengo ya kila wachawi hawaaamini tena ulinzi wa kisasa
 
Pamoja na kuwa Tanzania ina haki ya kuwa na mahusiano ya kirafiki na nchi yoyote duniani kwa kadri inavyowezekana, kwa maoni yangu safari ya kuelekea Moscow imefanyika katika wakati ambao si muafaka kisiasa na kidiplomasia...

Katika kipindi ambacho Marekani na Umoja wa Ulaya tayari wameonyesha kutoridhishwa na mwenendo wa kisiasa nchini Tanzania, hususan baada ya matukio ya Oktoba 2025, malalamiko ya ukiukwaji wa haki za binadamu, na kuendelea kushikiliwa kwa viongozi wa upinzani, jambo la mwisho ambalo Tanzania ilihitaji ni kutuma ujumbe unaoweza kutafsiriwa kama kuhamisha mwelekeo wake wa kimkakati kutoka kwa washirika wake wakuu wa maendeleo kwenda Moscow.

Kumbuka, tatizo si kwenda Moscow.

Tatizo ni kwenda Moscow wakati Washington na Brussels wanaanza kuhoji mwelekeo wa kisiasa wa Tanzania.

Diplomasia sio suala la hisia;
ni suala la muda, mazingira na maslahi ya taifa.

Ukweli ambao haukwepeki na hatupaswi kuuficha ni kwamba kwa sasa Russia haiwezi kuchukua nafasi ya Marekani na Umoja wa Ulaya katika maendeleo ya Tanzania.

Takwimu zinaonyesha wazi:

👉Marekani imechangia zaidi ya dola bilioni 3 katika kipindi cha 2020–2025.

👉Umoja wa Ulaya umechangia takribani dola bilioni 3.2.

👉Russia imechangia karibu sifuri katika Official Development Assistance (ODA).

Haya si maoni. Hizi ni takwimu.

Wakati mwingine katika siasa tunajidanganya kwamba washirika wanaweza kubadilishwa kwa urahisi. Historia inaonyesha sivyo.

Marekani na Umoja wa Ulaya hawatoi fedha pekee.

Wamekuwa nguzo muhimu katika:

mapambano dhidi ya UKIMWI na malaria,
chanjo na mifumo ya afya, elimu, maji safi, kilimo, uwekezaji wa sekta binafsi, teknolojia, mafunzo ya wataalamu, na upatikanaji wa masoko ya kimataifa.

Pengo litakalotokana na kupungua kwa ushirikiano huo haliwezi kuzibwa kwa picha za viongozi kukutana au mikataba michache ya kisiasa.

Mataifa hayajengwi kwa alama za kidiplomasia; yanajengwa kwa maslahi halisi ya wananchi.

Swali ambalo viongozi wanapaswa kujiuliza si kama tunaweza kuwa marafiki wa Russia, bali Swali kuu ni:

Je, Russia inaweza kuchukua mzigo wa afya, elimu, uwekezaji, biashara na maendeleo ambao Marekani na Umoja wa Ulaya wameubeba kwa miongo kadhaa?

Mpaka sasa, jibu la ukweli ni hapana.

Hatari kubwa zaidi si kupoteza misaada.

Hatari kubwa ni kupoteza imani.

Mataifa yanaweza kuishi bila misaada kwa muda fulani.

Lakini ni vigumu kuishi bila imani ya wawekezaji, masoko ya kimataifa, taasisi za kifedha na washirika wa maendeleo.

Fedha za dunia zina tabia moja:

Hukimbilia kwenye utulivu, uwazi wa kisiasa na taasisi zinazoaminika.

Ndiyo maana nchi yenye busara haiharibu madaraja kabla haijajenga mengine.

Na hata kama imeamua kujenga daraja jipya kuelekea Moscow, ni hatari kubomoa madaraja yaliyoiunganisha na Washington na Brussels kwa zaidi ya nusu karne.

Kwa sababu katika siasa za kimataifa, si kila rafiki mpya ana uwezo wa kuchukua nafasi ya rafiki wa zamani.

Na katika wakati ambao Tanzania inahitaji uwekezaji zaidi, ajira zaidi, teknolojia zaidi na masoko zaidi, taifa linapaswa kuwa makini sana lisije likachanganya uhuru wa kidiplomasia na kujitenga kidiplomasia.

Uzalendo wa kweli si kupiga picha na mataifa makubwa; uzalendo wa kweli ni kuhakikisha maamuzi ya leo hayaleti gharama ambazo wananchi wa kawaida watazilipa kesho...!!
Tuchukue mifano kipindi cha sera za ujamaa na mgogoro na WORLD BANK na IMF tulipata shida sana Urusi na China wakiwepo. Ushauri ni kurekebisha mifumo ya ndani turudi kwenye misingi ya haki za binadamu, katiba mpya na matakwa mengine ya wananchi wetu. Mengine ya kidiplomasia na kisiasa yatafuata automatic
 
Hakuna nchi Duniani iliyowahi kupata maendelro kwa msaada wa Urusi au China. Ukiitegemea China au Urusi, lazima ufeli.

Angalia maendeleo ya mataifa yaloyosaidiwa na mataifa ya Magharibi:
South Korea
Ujerumani
Saudi Arabia
Kuwait
Qatar
Hong Kong
Singapore

Linganisha na washirika wa China au Russia:
North Korea
Afganstan
Syria
Cuba
Venezuela
Iran
Kwa hiyo Iran haina maendeleo?
 
Tuchukue mifano kipindi cha sera za ujamaa na mgogoro na WORLD BANK na IMF tulipata shida sana Urusi na China wakiwepo. Ushauri ni kurekebisha mifumo ya ndani turudi kwenye misingi ya haki za binadamu, katiba mpya na matakwa mengine ya wananchi wetu. Mengine ya kidiplomasia na kisiasa yatafuata automatic
Ni sahihi..

Lakini, hawa watu hawaelewi haya...

Their intelligence of conscience has been taken up by their stupid and fateful dangerous egos...

They're lost. They are absolutely going to die..
 
Pamoja na kuwa Tanzania ina haki ya kuwa na mahusiano ya kirafiki na nchi yoyote duniani kwa kadri inavyowezekana, kwa maoni yangu safari ya kuelekea Moscow imefanyika katika wakati ambao si muafaka kisiasa na kidiplomasia...

Katika kipindi ambacho Marekani na Umoja wa Ulaya tayari wameonyesha kutoridhishwa na mwenendo wa kisiasa nchini Tanzania, hususan baada ya matukio ya Oktoba 2025, malalamiko ya ukiukwaji wa haki za binadamu, na kuendelea kushikiliwa kwa viongozi wa upinzani, jambo la mwisho ambalo Tanzania ilihitaji ni kutuma ujumbe unaoweza kutafsiriwa kama kuhamisha mwelekeo wake wa kimkakati kutoka kwa washirika wake wakuu wa maendeleo kwenda Moscow.

Kumbuka, tatizo si kwenda Moscow.

Tatizo ni kwenda Moscow wakati Washington na Brussels wanaanza kuhoji mwelekeo wa kisiasa wa Tanzania.

Diplomasia sio suala la hisia;
ni suala la muda, mazingira na maslahi ya taifa.

Ukweli ambao haukwepeki na hatupaswi kuuficha ni kwamba kwa sasa Russia haiwezi kuchukua nafasi ya Marekani na Umoja wa Ulaya katika maendeleo ya Tanzania.

Takwimu zinaonyesha wazi:

👉Marekani imechangia zaidi ya dola bilioni 3 katika kipindi cha 2020–2025.

👉Umoja wa Ulaya umechangia takribani dola bilioni 3.2.

👉Russia imechangia karibu sifuri katika Official Development Assistance (ODA).

Haya si maoni. Hizi ni takwimu.

Wakati mwingine katika siasa tunajidanganya kwamba washirika wanaweza kubadilishwa kwa urahisi. Historia inaonyesha sivyo.

Marekani na Umoja wa Ulaya hawatoi fedha pekee.

Wamekuwa nguzo muhimu katika:

mapambano dhidi ya UKIMWI na malaria,
chanjo na mifumo ya afya, elimu, maji safi, kilimo, uwekezaji wa sekta binafsi, teknolojia, mafunzo ya wataalamu, na upatikanaji wa masoko ya kimataifa.

Pengo litakalotokana na kupungua kwa ushirikiano huo haliwezi kuzibwa kwa picha za viongozi kukutana au mikataba michache ya kisiasa.

Mataifa hayajengwi kwa alama za kidiplomasia; yanajengwa kwa maslahi halisi ya wananchi.

Swali ambalo viongozi wanapaswa kujiuliza si kama tunaweza kuwa marafiki wa Russia, bali Swali kuu ni:

Je, Russia inaweza kuchukua mzigo wa afya, elimu, uwekezaji, biashara na maendeleo ambao Marekani na Umoja wa Ulaya wameubeba kwa miongo kadhaa?

Mpaka sasa, jibu la ukweli ni hapana.

Hatari kubwa zaidi si kupoteza misaada.

Hatari kubwa ni kupoteza imani.

Mataifa yanaweza kuishi bila misaada kwa muda fulani.

Lakini ni vigumu kuishi bila imani ya wawekezaji, masoko ya kimataifa, taasisi za kifedha na washirika wa maendeleo.

Fedha za dunia zina tabia moja:

Hukimbilia kwenye utulivu, uwazi wa kisiasa na taasisi zinazoaminika.

Ndiyo maana nchi yenye busara haiharibu madaraja kabla haijajenga mengine.

Na hata kama imeamua kujenga daraja jipya kuelekea Moscow, ni hatari kubomoa madaraja yaliyoiunganisha na Washington na Brussels kwa zaidi ya nusu karne.

Kwa sababu katika siasa za kimataifa, si kila rafiki mpya ana uwezo wa kuchukua nafasi ya rafiki wa zamani.

Na katika wakati ambao Tanzania inahitaji uwekezaji zaidi, ajira zaidi, teknolojia zaidi na masoko zaidi, taifa linapaswa kuwa makini sana lisije likachanganya uhuru wa kidiplomasia na kujitenga kidiplomasia.

Uzalendo wa kweli si kupiga picha na mataifa makubwa; uzalendo wa kweli ni kuhakikisha maamuzi ya leo hayaleti gharama ambazo wananchi wa kawaida watazilipa kesho...!!

Aiona sheikh Mahmoud Thabit Kombo na bosi wake Ikulu ya Tunguu
 
Back
Top Bottom