Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa amesema Serikali iko tayari kufanya kila linalohitajika ili kuwezesha Taifa Stars kufuzu michuano ya AFCON 2025.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa amesema Serikali iko tayari kufanya kila linalohitajika ili kuwezesha Taifa Stars kufuzu michuano ya AFCON 2025.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa ameomba Watanzania kutoikatia tamaa timu ya Taifa (Taifa Stars) kwenye michezo inayofuata ya kufuzu AFCON 2025 baada ya kufungwa mabao 2 -0 na DR Congo.
Hii picha wako wapi mkuu?
Mkuu hivi hii ilikuwa ni tukio gani.
Yaani wameshindwa kufanya miundombinu hapa tumalizane na hawa wakongomani wanaanza kutuletea stori.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa amesema Serikali iko tayari kufanya kila linalohitajika ili kuwezesha Taifa Stars kufuzu michuano ya AFCON 2025.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa ameomba Watanzania kutoikatia tamaa timu ya Taifa (Taifa Stars) kwenye michezo inayofuata ya kufuzu AFCON 2025 baada ya kufungwa mabao 2 -0 na DR Congo.
Aiseeeee.....

Mbona makatibu wengine wa wizara sionagi wakiwa wasemaji?
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa amesema Serikali iko tayari kufanya kila linalohitajika ili kuwezesha Taifa Stars kufuzu michuano ya AFCON 2025.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa ameomba Watanzania kutoikatia tamaa timu ya Taifa (Taifa Stars) kwenye michezo inayofuata ya kufuzu AFCON 2025 baada ya kufungwa mabao 2 -0 na DR Congo.
Wachawi wakiwa kilingeni
Hii wizara haijawahi pata watu sahihi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa amesema Serikali iko tayari kufanya kila linalohitajika ili kuwezesha Taifa Stars kufuzu michuano ya AFCON 2025.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa ameomba Watanzania kutoikatia tamaa timu ya Taifa (Taifa Stars) kwenye michezo inayofuata ya kufuzu AFCON 2025 baada ya kufungwa mabao 2 -0 na DR Congo.
Wanaangalia na itikadi.Makocha wazawa ubinafsi, ujuaji ndiyo unawa cost! Calvin John na Msuva walipaswa kuwepo timu ya Taifa.
Mtafanya nini?