Msigwa: Tutafanya kila kitu kinachohitajika kufuzu AFCON. Watanzania wasiikatie tamaa Taifa Stars

Msigwa: Tutafanya kila kitu kinachohitajika kufuzu AFCON. Watanzania wasiikatie tamaa Taifa Stars


Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa amesema Serikali iko tayari kufanya kila linalohitajika ili kuwezesha Taifa Stars kufuzu michuano ya AFCON 2025.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa ameomba Watanzania kutoikatia tamaa timu ya Taifa (Taifa Stars) kwenye michezo inayofuata ya kufuzu AFCON 2025 baada ya kufungwa mabao 2 -0 na DR Congo.​

Maskini au anajua kwenda afcon kuna wakurugenzi wa halmashauri,tamisemi na mhengerwa?
 
Back
Top Bottom