Msigwa: Tutafanya kila kitu kinachohitajika kufuzu AFCON. Watanzania wasiikatie tamaa Taifa Stars

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Your browser is not able to display this video.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa amesema Serikali iko tayari kufanya kila linalohitajika ili kuwezesha Taifa Stars kufuzu michuano ya AFCON 2025.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa ameomba Watanzania kutoikatia tamaa timu ya Taifa (Taifa Stars) kwenye michezo inayofuata ya kufuzu AFCON 2025 baada ya kufungwa mabao 2 -0 na DR Congo.​

 
 
Mkuu hivi hii ilikuwa ni tukio gani.

Kama vile ilikuwa halftime fulani hivi 😀 wakipanga mikakati ya kwenda kupindua meza.

Nimeipenda sana hii picha. Selelii naona ndo chair hapo. Sendeka ni kama alikuwa anauza mipango tu.

Bashite naona alikuwa anajifunza mbinu.

Nape yeye ndo kama msukuma kete.. driver.. mwigulu kama anakula timing fulani hivi.

Huyu mwakiembe ni kama ndiye aliripoti jambo ili lijadiliwe 😃😃.

Kikao cha dharura ndo hiko sasa.
 
Yaani wameshindwa kufanya miundombinu hapa tumalizane na hawa wakongomani wanaanza kutuletea stori.
 
Aiseeeee.....
 
Probably anamaanisha watahusisha sangomaz zaidi ya waliotumia awali!
 
Mbona makatibu wengine wa wizara sionagi wakiwa wasemaji?
 
Hii wizara haijawahi pata watu sahihi.
 
Mtafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…